99.9% Namna Utakavyoboresha Maisha Yako Kwa Kusoma Vitabu Vizuri…

99.9% Namna Utakavyoboresha Maisha Yako Kwa Kusoma Vitabu Vizuri…

Rafiki Yangu Mpambanaji,

Leo endapo utafanikiwa kusoma makala hii fupi mpaka mwisho.

Bila shaka utaweza kuboresha maisha yako kwa 99.9%.

Unaweza ukawa unasoma hapa, alafu unajiuliza  mbona kama 99.9% ni nyingi sana?

Upo sahihi kabisa haupo pekee yako, hata Steve mwanzo alijiuliza hili swali ambalo unaendelea kujiuliza hapa.

Nakumbuka Ilikuwa ni kama juzi tu, Tarehe 17 Mwezi Wa 2, Saa 12 Asubuhi nikiwa chumbani narudia kusoma kitabu kizuri cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.

Ghafla nilipokea simu ngeni kutoka kwa mtu mwenye sauti nzito aliyejitambulisha kwa jina la Steve.(weka sauti ya kutoka usingizini)

Huyu Steve ni Mjasiriamali wa matunda huko mkoani kahama.

Na pia Steve ni mfuatiliaji mzuri wa Blog ya www.somavitabu.co.tz.

Anadai kwamba huwa anaenjoy (anafurahia)  sana, kusoma makala zetu kama wewe unavyoenjoy (unavyofurahia) hapa.

Ila changamoto yake ni kwamba anakosa kabisa hamasa ya kuanza kusoma vitabu, kwa sababu vitabu ni vingi sana, hajui aanze na kipi .

Akaomba nimshauri afanyaje?…

Na kwakuwa Steve ni mnyenyekevu, nilimuonea huruma sana.

Kabla sijamshauri  cha kufanya nikamuuliza.

Unajua  umuhimu wa kusoma vitabu, akanijibu ndiyo,

Kisha nikamwambia anitajie faida 11 atakazozipata kwa kusoma vitabu vizuri.

Kwa MSHANGAO! Alitaja faida 1 pekee kati ya 11. Ambayo ni kutaka KUONGEZA MAARIFA MAPYA.

Nikamwambia hiyo ndio sababu inayokupelekea unakosa msukumo wa ndani kabisa wa kusoma vitabu.

Nikaona isiwe kesi sana,

Nikamuuliza tena, upo tayari kuzijua Faida nyingine 10 zilizobaki?…

Akajibu NDIYO Kwa Sauti Ya UPOLE,

Nikaanza Kumpa Faida Atakazozipata Kwa Kusoma Vitabu Vizuri.

Hata wewe unaweza kuzitumia ili upate msukumo wa ndani kabisa wa kusoma vitabu.

1.Kwa kusoma vitabu vizuri utaweza kufikiri kwa kina, ina maana utaweza kufahamu mambo ambayo yatakufanya ufikiri zaidi na hivyo utaweza kuboresha maisha yako ndani ya muda mfupi sana.

2.Kwa kusoma  vitabu vizuri  utapata hamasa kwa sababu maisha yana changamoto mbalimbali, hivyo kwa kusoma vitabu utaweza kuhamasika kutoka hatua moja hadi nyingine.

…ina maana utaweza kutatua changamoto mbalimbali ambazo wengine zimewashinda.

3.Kwa kusoma vitabu vizuri utaweza kuokoa pesa nyingi ambazo ungezitumia kwenye maswala ya starehe, ina maana utakuwa na nidhamu ya pesa zako, na hivyo utafanikiwa kwa kasi sana.

4.Kwa kusoma Vitabu Vizuri utaweza kutumia muda wako vizuri, hivyo hutapata muda wa kupoteza, ina maana utaweza kutimiza malengo yako ndani ya muda mfupi sana mpaka watashangaa.

5.Kwa kusoma  vitabu vizuri utaweza kuboresha afya yako ya akili, ina maana utakuwa Genius ndani ya muda mfupi tu!.

6.Kwa kusoma  vitabu vizuri utaweza kujenga hoja, hivyo utaweza kufikiri kabla ya kuzungumza ina maana watu hawatachoka kukusikiliza, watakuamini na kukupenda.

7.Kwa kusoma  vitabu vizuri utaweza  kuzijua siri na kanuni za kupata fedha zaidi ambazo wengine hawazijui , hivyo itakurahisishia kuzitumia na kuongeza kipato chako huku ukiwaacha wakikushangaa.

8.Kwa kusoma  vitabu vizuri utaweza kuongeza ubunifu wako na hivyo utaweza kuongeza ufanisi wako kazini na hivyo utaweza kutimiza malengo yako kwa u haraka zaidi.

9.Kwa Kusoma Vitabu Vizuri itakusaidia  kuondoka kwenye lindi kubwa la mawazo yanayokutesa (MSONGO WA MAWAZO), ina maana vitabu vitakuliwaza, vitakufariji na kukutia moyo.

10.Kwa kusoma vitabu vizuri utaweza kuacha TABIA MBAYA kama vile ulevi, uvivu, uzinzi, sigara ina maana utaweza kutumia muda wako vizuri na hivyo kuboresha maisha yako kwa kasi ya 4G.

11.Kwa Kusoma vitabu vizuri utaweza kuongeza uwezo wako wa kumbukumbu, hivyo utaweza kukumbuka mambo mengi kwa wakati mmoja, na hivyo itakurahisishia kuboresha maisha yako kwa 99.9%.

Akashukuru sana, kwa sababu hakuwahii kufikiria kama atapata faida nyingi kiasi hiki ,

Kwa hiyo akaona atapata faida nyingi sana zaidi ya kusoma tu MAKALA kila siku, akagundua kumbe alikuwa anajipunja mwenyewe.

Baada ya kuona faida atakazozipata  akaniomba kwa dhati kabisa,

Ni mshauri kitabu kizuri cha kuanza kusoma.

Nikamshauri aanze na kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA, hata wewe unaweza ukaanza nacho.

Kwa sababu kitamsaidia na kumrahisishia kujitambua kwa haraka sana.

Kisha nikampa maelezo ya jinsi ya kukipata kitabu chake.

Baada Ya Dakika 2 kupita akatuma Tshs 24,999 hii ni Pamoja na Gharama Ya Kukisafirisha Kitabu chake kutoka hapa Dar es salaam kwenda KAHAMA.

Kesho kutwa yake akakipokea kitabu chake na kuanza kukisoma mara moja,

…nakuambia sasa hivi Steve kajitambua sana na hata akikosa hamasa ya kusoma kitabu chake anajikumbusha zile faida atakazozipata.

99.99% ameboresha maisha yake ndani ya muda mfupi.

Kwa sasa anayafurahia maisha yake.

Kwa sababu ameweza kujua jinsi ya kuzitumia kemikali 4 zinazochochea furaha inayoduma.

Na hii ndio sababu iliyomfanya Steve kuongeza kitabu kingine.

Kwa sasa ameweza kuboresha maisha yake kwa 99.9% mpaka ndugu jamaa wanamshangaa.

…aisee vitabu vina nguvu sana.

Baada ya kupita miezi mitatu, Jana saa 9 alasiri nikapokea simu kutoka kwa Steve ,

…akiongea kwa kuchangamka huku akishukuru mara mbili mbili.

Kisha akaniomba nimshauri kitabu kingine cha kusoma basi nikamshauri asome kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.

Na leo saa 12 asubuhi kitabu chake cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA kinaondoka hapa Dar es salaam kwenda kahama.

Kwa hiyo atakipokea kesho asubuhi.

Sipati picha furaha na tabasamu alilokuwa nalo Steve wakati ananipigia na kunipa hizi taarifa.

Hii maana yake ni kwamba…

Kutoka kutokujua chochote kuhusu kusoma vitabu mpaka kumaliza kusoma kitabu kikubwa chenye kurasa 200+, na kuongeza kingine kikubwa zaidi.

Ni kama bahati tu kwako leo…

Kwa sababu OFA ya kitabu niliyompa Steve  ndio ninayoenda kukupa wewe sasa hivi.

Badala ya Tshs 50K ndani ya masaa 9 utakipata kitabu chako cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA, Kwa OFA ya Tshs 19,900TU!

Kama kweli upo serious (makini) na unataka kuboresha maisha yako kwa 99.9%.

Basi tuma Sasa hivi meseji inayosomeka “ UNA NGUVU”.

Kwenye WHATSAPP Namba 0752977170.

Watu 5 wa kwanza watapata OFA ya BURE kabisa ya kuunganishwa na CLUB YA WASOMA VITABU TANZANIA.

Tuwasiliane sasa hivi, ukisubiri mpaka kesho utakuwa umeshachelewa.

Kila Lakheri,

Shabiki Yako Namba 1,

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu, www.somavitabutz.co.tz.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post