ASIKWAMBIE MTU; Kuanzia Leo Utaweza Kucheza na Akili Yako Kadiri Utakavyo!…

Rafiki Yangu Mpendwa,

Umeumbwa na Uwezo wa Kipekee Sana , Kama Vile Tai Alivyoumbwa Kuruka Juu Angani…

Ni muda sasa tangu; Mfalme alipozawadiwa watoto wawili wa tai na rafiki yake,akiwa  kwenye jimbo lake la ANNUAL.

Uzao wa tai ulikuwa ni wenye kuvutia na mfalme alikuwa hajawahi kuona watoto wa tai wazuri kiasi kile.

Mfalme akavutiwa sana na zawadi aliyopewa na rafiki yake na kuamua kumuajiri mtu mwenye uzoefu wa kuwahudumia.

Baada ya muda mfalme aliona watoto wa tai wakiendelea kukua huku wakivutia kuliko hapo mwanzo.

Mfalme akamwambia yule kijana anayewahudumia wale tai “ Nataka kuwaona wakiruka angani”. Waonyeshe ishara za kuruka angani.

Yule mhudumu akafanya kama alivyoelekezwa , Tai wote wakaanza kujipapatua kwa haraka kama walivyoona ishara.

Lakini Tai mmoja alipaa juu angani, mwingine alijipapatua kwa sekunde na kurudi pale juu ya tawi alipokuwa mwanzo.

Baada ya kuona hili, Mfalme akahisi kitu flani cha ajabu. Akawa mdadisi kujua sababu zilizopelekea Tai wake wa pili kushindwa kuruka juu angani.

Ndipo mfalme akamuuliza mhudumu “ Ni kitu gani hasa kinachosababisha Tai mmoja anaruka juu angani vizuri , na mwingine anashindwa kujaribu kuruka juu angani?…”

Mhudumu akajibu,

“ Ndio, hili ni tatizo kutoka mwanzo na tawi hawa, hawataki kabisa kutoka juu ya tawi hili”.

Mfalme aliwapenda tai wote wawili na alitamani sana kumuona tawi wa pili akiruka juu angani.

Siku iliyofuata alitangaza katika jimbo zima mtu yeyote atakayeweza kumsaidia / kumfanya tai wa pili kuruka juu angani atamzawadia zawadi kubwa sana.

Baada ya kutangaza , watu wengi wenye akili na watu wenye ujuzi walijitokeza na kujaribu kutumia maarifa waliyoyapata kumfanya tai wa pili kuruka juu angani. Lakini hakuna aliyefanikiwa.

Hata baada ya majuma mengi kupita hakuna mabadiliko yoyote kwa tai.

Alijaribu kuruka kidogo na kurudi chini na kukaa, Mfalme alipoteza tumaini na mwisho alikata tamaa.

Siku moja kitu cha ajabu kilitokea, Mfalme aliwaona wote wawili wakiruka juu angani.

Hakuamini macho yake na gafla akamwita mhudumu. Mhudumu akamtaarifu mfalme “ Ndio, Tai wa pili naye ameruka juu angani. Mtu mmoja amefanikiwa kumfanya tai wa pili kuruka juu angani”.

Mfalme akamwambia mhudumu amlete huyo mtu ambaye kafanya kitu kikubwa kiasi kile.

Siku iliyofuata, alimleta mbele ya mfalme ambapo mfalme alikuwa akimngoja kwa hamu kubwa na zawadi aliyomuandalia.

 Wakati wa makabidhiano Mfalme alikuja kugundua kwamba yule jamaa alikuwa ni mkulima wa kawaida sana.

Akasema,” Nakata Tawi Tu, Tawi Ambalo Amezoea Kulikalia”.

Baada ya kupewa zawadi kwenye ushindi wake , Mfalme akasema “ Nimefurahishwa Sana Na Wewe”.

Ebu niambe jinsi gani ulifanya hili ambalo WASOMI WAKUBWA na WATU WENYE SIFA ZA JUU wameshindwa kulifanya.

 Mkulima AkasemaUkuu Wako, Mimi ni Mkulima Wa Kawaida , Sina Maarifa Kama Wasomi, Ninachofanya Ni Kulikata Tawi , Ambalo Tai Alikuwa Amezoea Kulikalia,kama hakuna tawi, hawana uchaguzi mwingine zaidi ya kuruka juu angani, ndio maana alifanya vizuri sana.

Tunachojifunza ;

Kama tu Tai hakuamini kwamba angeweza kuruka juu zaidi na mara zote alipenda kubaki juu ya tawi.

Hata sisi wakati mwingine tunajipuuzia na tunashindwa kutambua uwezo wetu wa kipekee.

Katika maisha tumezoea kufanya mambo flani , tunaendelea kufanya na tunasahau kuhusu uwezo wetu wa juu wa kuruka.

Sote tumeumbwa kwa mfano wake kama tai, tunapendelea kubaki kwenye tawi la eneo letu la faraja (COMFORT ZONE).

Baada ya mkulima kukata tawi , tai hakuwa na uchaguzi mwingine zaidi bali kutoka nje ya eneo lake la faraja (COMFORT ZONE), na kuanza kuruka.

Kwahiyo ili uweze kufanikiwa kwa viwango vya juu na kugundua uwezo wako wa kipekee , ni muhimu ukate tawi la eneo lako la faraja (COMFORT ZONE) ambalo limekuwa kikwazo kwako katika mafanikio.

Utaweza kufanikiwa kwa viwango vya juu endapo tu utatoka nje ya eneo lako la faraja (COMFORT ZONE).

ASIKWAMBIE MTU; Kuanzia Leo Utaweza Kucheza Na Akili Yako Kadiri Utakavyo!…

Kitu chochote kinachokutokea, ambacho hukutegemea huwa unakuja na maana mbaya.

Mfano ukioneshwa picha ya watu wapo nje ya kanisa wanalia, ghafla utapatwa na huzuni, ukijua kuna msiba.

 Lakini ukiambiwa watu wapo kwenye harusi na wanalia kwa furaha , unabadili kutoka kwenye huzuni na kwenda kwenye furaha.

Hii inaonesha kwamba unaweza kucheza na akili yako kadiri utakavyo,  kwa sababu akili inapenda kupata maana ya kila kinachotokea, na kwa kuwa huwa inapenda kwenda kwenye maana hasi, ni kazi yako kutengeneza maana chanya kwa kila kinachotokea.

Utaweza kulifanya hili kwa ufanisi wa hali ya juu endapo utasoma kitabu kinachoitwa UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA ( Tambua Uwezo Mkubwa Wa Akili Na Mwili Wako Na Jinsi Ya Kuutumia Kutenda Miujiza), Kuanzia Ukurasa Wa (1 Mpaka 189) .

Hakika Utakuwa GENIUS.

Ndio WEWE ni GENIUS.

Kama huamini fanya hivi;

Lipia Tsh 19,999 tu, SAVE Tsh 79K,

Kwenda Namba 0752977170, Utaletewa au Kutumiwa kitabu Chako Popote Ulipo Ndani Ya AFRIKA MASHARIKI .

Rafiki Yangu Mpendwa, Wasiliana Nami Kwa Kupiga Simu Namba 0752977170. Ujipate Nakala Yako LEO. UEPUKE FEDHEA YA KUDHARAULIKA…

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

Bwana Rama, Copywriter Wa SOMA VITABU TANZANIA.

www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post