Nenda shule, soma kwa bidii na ufaulu vizuri. Utapata kazi inayokulipa vizuri na utakuwa na maisha mazuri. Huu ulikuwa ushauri maarufu na uliofanya kazi kwenye karne ya 20 na muongo
Njia Rahisi Ya Kukabiliana Na Rafiki Hasi Kwenye Maisha Yake.Njia Rahisi Ya Kukabiliana Na Rafiki Hasi Kwenye Maisha Yake.
Njia Rahisi Itakayokusaidia Kukabiliana Na Rafiki Hasi Kwenye Maisha Yako. Takwimu zinaonesha kwamba, Wastani wa watu wanne (4) unaojihusisha nao kwa siku wana mitazamo hasi. Unaye rafiki yeyote ambaye ni
JIFUNZE HAPA; Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi.JIFUNZE HAPA; Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi.
Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa? Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini? Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia
Hii Ndiyo NJia Ya Uhakika Ya Kuongeza Mshahara Wako.Hii Ndiyo NJia Ya Uhakika Ya Kuongeza Mshahara Wako.
Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako? Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani? Je mwajiri wako
Angalia, Jinsi Ilivyorahisi Kuokoa Muda Wako.Angalia, Jinsi Ilivyorahisi Kuokoa Muda Wako.
Unajua ni nini cha kikawaida kati yako na Jeff Bezos, Mark Zuckerberg, Bill Gates, Mukesh Ambani, Warren Buffett? Rasilimali ya kikawaida ambayo mnayo wote sawa ni MUDA. Kila mmoja amepewa
Niliacha Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kwa Muda Wa Wiki 65. Na Hiki Ndicho NilichojifunzaNiliacha Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kwa Muda Wa Wiki 65. Na Hiki Ndicho Nilichojifunza
Ni kauli aliyotoa Mr DAVID wakati anahojiwa na BBC. Pale David alipoamua kupumzika kutumia mitandao ya kijamii, Hakuamini kama angeweza kukaa nje ya mitandao ya kijamii kwa zaidi ya mwaka.
Jinsi Ya Kuboresha Furaha Na Mahusiano YakoJinsi Ya Kuboresha Furaha Na Mahusiano Yako
Rafiki yangu mpendwa, Hivi unajua kwamba una wajibu na furaha yako kwa 90%? Vipi kama leo nitakuambia wewe ndiye mkurugenzi wa maisha yako? Huku ukiendelea kutafakari tujikumbushe kutoka kwenye hadithi
Imegundulika, Uraibu Wa Matumizi Ya Teknolojia Mpya Ni Chanzo Cha Sonona (depression) Kwa Wengi.Imegundulika, Uraibu Wa Matumizi Ya Teknolojia Mpya Ni Chanzo Cha Sonona (depression) Kwa Wengi.
Ulishawahi kufikiria Hili Lingetokea? Mtaalamu ALBERT EISNTEIN alishawahi kusema” Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutumia kiwango kilekile cha uwezo wetu wa kufikiri tulichokuwa nacho wakati tunapata tatizo hilo”. Ukweli ni kwamba
Hatimaye, Njia Bora Ya Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii Imeanza Kutumika.Hatimaye, Njia Bora Ya Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii Imeanza Kutumika.
Ni masaa mangapi unatumia kila siku kuzurura kwenye mitandao ya kijamii? Unapaswa ufahamu hili miaka 20 iliyopita, kabla ya mitandao ya kijamii na simu janja hazijaingia kwenye maisha ya watu,
Unasumbuka Na Ufanisi Kazini…?Unasumbuka Na Ufanisi Kazini…?
Leo nimeamua nikusogezee mada hii kwenye macho yako kwani imekuwa changamoto na kuathiri utendaji kazi wa watu wengi. Ukweli ni kwamba akili zetu sisi binadamu ni kitu cha ajabu sana,