Nenda Mbele Rudi Nyuma Hii Ndio Njia Rahisi Sana Ya Kuishi Maisha Ya Furaha Na Itakushangaza.

Nenda Mbele Rudi Nyuma Hii Ndio Njia Rahisi Sana Ya Kuishi Maisha Ya Furaha.

Rafiki Yangu Msomaji,

Na kama unataka kufurahia maisha basi fanya kitu hiki cha kushangaza ambacho wataalam wanakifanya.

Ilikuwa mwishoni mwa miaka ya 80…

Huko Mkoani  Mwanza…

Katika Kijiji Kimoja Maarufu Sana Kilichosifika Kwa Matukio Ya Kutisha.

Alikuwepo Mzee Mmoja aliyeitwa “ Mzee Kipara”

Mzee Kipara , alitambulika kama mmoja wa wazee maarufu waliowahi kuishi kanda ya ziwa.

Lakini kijiji kizima kilichukizwa na tabia zake kwa sababu kila mara alikuwa ni mtu wa kulalamika na mara zote alikuwa mkali mno.

Ila kadiri siku zilivyozidi kwenda , ndivyo alivyozidi kuwa mkali kiasi kwamba akawa anawarushia maneno makali wanakijiji wenzake.

Wanakijiji wenzake walimtenga kwa sababu ni mtu asiyetabirika yani mda wowote anaweza  kukulipukia kama bomu vile.

Hakuna mwanakijiji aliyepata nafasi ya kufurahi mbele yake na kujihusisha naye.

Baada ya kutengwa na wanakijiji  wenzake alipatwa na msongo wa mawazo na akawa ni mtu mwenye huzuni kila mara.

Na hivyo hali hiyo ilimpelekea kuzidi kuzeeka na kupunguza kinga za mwili.

Lakini Gafla siku moja,

… kitu cha kushangaza kilitokea pale kijijini na kuwaacha wanakijiji wakiweweseka

…pale Mzee Kipara alipofikisha miaka 70.

Gafla tena,

Taarifa Za Mzee Kipara zikasambaa kijiji kizima.

 Kwamba;

Mzee Kipara, leo amekuwa mchangamfu sana kuliko kawaida , hamlalamikii yeyote na halalamikii chochote.

Anatabasamu na hivyo amekuwa na mwonekano mpya wakupendeza kwenye uso wake.

Wanakijiji walipatwa na mshangao  na hali hiyo kuwapelekea kuitisha kikao cha kumjadili mzee kipara.

Hivyo waliamua kumweka mtu kati mzee kipara.

Na kumuuliza Mzee Kipara hivii;

Mzee Kipara, Kulikoni?

Mzee Kipara,Nini Kimekutokea?

Mzee Kipara, Ni kitu gani hasa kilichokubadilisha gafla kiasi hiki mpaka unatuogopesha?

Mzee kipara, akatabasamu kwa muda wa sekunde 7 kisha akawajibu,

Hakuna kipya kilichonitokea.

Ni kwamba hata nyie,  ili jibu litawaacha mdomo wazi,

… kwa miaka 70 niliyoishi hapa duniani nimekuwa nikiitafuta Furaha na hivyo mara zote nmekuwa nikiikosa na hivyo nilikuwa nafanya kazi bure kabisa.

Baada ya kuitafuta kwa muda mrefu nimesanuka ya kwamba inanikimbia hivyo siipati.

Hivyo nimechukua  uamuzi wa kuishi maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani bila furaha.

Na Ndivyo nilivyoamua,

Na ndio maana mnaniona ninayafurahia maisha kuliko kipindi cha nyuma.

Utakubaliana na mimi kwamba Furaha ni zao la ndani.

Kabla ya kuitafuta furaha, angalia kwanza ulichonacho ndani yako.

Huhitaji kutoka nje yako na kuitafuta furaha.

Badala yake, jikite zaidi kushukuru na kuviona vile vyote ulivyokwisha kuwa navyo .

Ukiwa mbishi na kuanza kuitafuta Furaha, utakuja kugundua kwamba ;

Ni ngumu zaidi kuipata kwa sababu furaha haitafutwi bali unaitengeneza mwenyewe kutokea ndani yako na si vinginevyo kabisa.

Vivyo hivyo, mara zote utakuja kugundua kwamba hata vitu vidogo vidogo vinaweza kukupa furaha.

Na ukilifahamu hili utafungua milango mingi ya kheri.

Na ukifanikiwa kuliishi kusudi la kuumbwa kwako pasina shaka utahisi utimilifu.

Kwahiyo, Shtuka badala ya kuitafuta Furaha ivute Furaha ije kwako.

Swali ni je unajua njia rahisi wanayoitumia wataalam kuivuta furaha kwenye maisha yao bila kutumia nguvu?

Yaani kuna vitu wanavyovifanya kila siku hivyo furaha inajipendekeza na kuwafuata.

Ni rahisi sana, kama unanawa.

Na njia rahisi zaidi ya kuivuta Furaha ije kwako utaikuta kuanzia ukurasa wa 30  wa kitabu hiki cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.

Na pia kama hiyo haitoshi na unataka kulijua kusudi la kuumbwa kwako nakushauri usome kitabu hiki cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.

Piga namba hii 0752977170.

Kupata Vitabu Vyako Viwili (2).

Kwa Tshs 39,900Tu! Za Kitanzania Badala Ya $ 25 ,

 Leo utapata Vyote Viwili (2).

Kama Upo Dar es salaam utaletewa popote ulipo.

Usiwe na wasi wasi kama upo mkoani hujasaulika utatumiwa vitabu vyako kwa Basi.

Na Kama Upo ZANZIBAR , vuta pumzi utatumiwa kwa BOTI.

UAMINIFU NDIO SILAHA YETU KUBWA.

Kumbuka;  NI LEO NA SIO KESHO.

Karibu.

Uhudumiwe.

Wako|AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post