Njia Rahisi Ya Kukuondoa Kwenye Umaskini Wa Kipato Na Madeni.

Niambie Kama Huyu Ni Wewe? Unajiuliza…

Napata Fedha Nyingi Kila Mwezi , hivi huwa zinaishia wapi?

Nawezaje Kutengeneza Fursa Zaidi Za Kifedha Kwenye Maisha Yangu?

Nawezaje Kuongeza Kipato Changu Mara Mbili Zaidi Ya Ilivyo sasa?Nawezaje Kudhibiti Matumizi Yangu Na Bado Nikawa Na Maisha Bora?

Nawezaje Kuondoka Kwenye Madeni Na Kuepuka Kuingia Kwenye Madeni Mabaya?

Nawezaje Kutengeneza Kipato Cha Uhakika Kisicho Na Ukomo?

Nawezaje Kupangilia Uwekezaji Wangu Ili Niwe Na Uhuru Wa Kifedha?

Nawezaje Kupata Unafuu Wa Kodi?

Nawezaje Kulinda Fedha Na Mali Zangu?

Nawezaje Kuwajengea Watoto Wangu Msingi Mzuri Wa Kifedha?

Nawezaje Kuacha Wasia Na Mgawanyo Mzuri Wa Mali Zangu Baada Ya Kifo Changu?

Wengi wamewahi kuwa hapo na wakafanikiwa kutoka! Mimi ni moja wao.

Niliamua kutumia pesa nyingi na muda mrefu (Miaka Mitano) kutafuta majibu ya maswali yote , na majibu yote nimeyaweka katika kitabu hiki kinachoitwa “BASIC FINANCIAL EDUCATION”.

Kitabu hiki kinamuhusu Mwajiri, Mwajiriwa, Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Tajiri, Fukara, Masikini, Mwalimu, Mwanachuo, Mwanafunzi wa sekondari, Mwanafunzi wa shule ya msingi.

Mbinu hizi binafsi zimenipatia matokeo makubwa, kirahisi na kwa haraka zaidi kuliko mbinu zozote utakazozipata kokote.

Mara ya kwanza nilijifunza mbinu hizi kwa ajili yangu tu na sio kwa ajili ya mtu yeyote.

Ila kulingana na ubora na umuhimu wa mbinu hizi nimeona sio vyema kuzitumia peke yangu.

Na rafiki yangu amenisihi nirudishe kwa jamii yangu ndio maana nikaandika kitabu hiki.

Kwa kusoma kikamilifu, na kufanyia kazi yale yote utakayojifunza kupitia kitabu hiki, mategemeo yangu ni kwamba;

Utaelewa misingi muhimu ya fedha na kuweza kuiishi, kuanzia kifikra mpaka kimatendo.

Utaweza kuongeza kipato chako kupitia shughuli unayofanya sasa na hata kuanzisha chanzo kipya cha kipato.

Utaweza kupunguza matumizi yako na kudhibiti matumizi.

Utaanza kuweka akiba kama bado, na kuendelea kuboresha uwekaji wako wa akiba kama ulishaanza.

Utaanza Kuwa Na Uwekezaji.

Utaanzisha biashara au kuimarisha biashara ambayo tayari umeshaanza.

Utakuwa na bima kwa maeneo muhimu ya maisha yako.

Utawafundisha watoto wako misingi muhimu ya kifedha.

Utatumia fedha zako kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.

Utaanza safari ya kuelekea kwenye utajiri na uhuru wa kifedha , hutarudi tena kwenye umasikini na madeni.

Rafiki, Kitabu hiki ni tofauti kabisa na vitabu vingine. Siyo kitabu cha kusoma na ukafurahia kwamba umekisoma, bali ni kitabu kinachokutaka uchukue hatua ili maisha yako yawe bora zaidi.

Hivyo baada ya kusoma kitabu hiki, nashauri uchukue hatua hizi tatu muhimu;

Moja; Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato. Kama umeajiriwa anzisha biashara ya pembeni , hata kama ni ndogo kiasi gani. Kuwa na kitu cha ziada unafanya , ambacho hata kama mwanzoni hakikupi kipato , kinakutengenezea njia ya kuwa na kipato zaidi baadaye.

Mbili; Kuwa na uwekezaji ambao unafanya. Uwekezaji huo uwe unafanya kidogo kidogo na kurudia rudia.

Tatu; Endelea kujifunza kuhusu fedha, biashara na hata mafanikio kwa ujumla.

Kwa kuchukua hatua hizi tatu, hutabaki hapo ulipo sasa.

Thamani ya Kitabu Hiki ni TSH 50,000++, leo unakipata kwa TSH 19,999TU! OKOA Leo TSH 29,999 NZIMA.

Tumetoa hii OFA kwa sababu ya maombi ya clients wetu.

Endapo utachukua vitabu vinne leo utapata kimoja BURE.

Na Ili Kupata Kitabu Chako Wasiliana na Namba 0752977170 au fungua (www.amkamtanzania.com/vitabu) na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Tanzania na Afrika Mashariki.

MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako. Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.

NYONGEZA; Unaposoma kitabu hiki, kuwa na kijitabu ambacho unaandika yale unayojifunza.

Mwisho wa kila somo kutakuwa na maswali ya kujiuliza na kujijibu na hatua za kuchukua. Yote hayo yaandike kwenye kijitabu chako kwa rejea ya baadaye.

Jambo muhimu sana ambalo nitaendelea kukusisitiza kila mara ni kwamba hakuna kitu kitakachofanya kazi kama wewe hutachukua hatua.

NIkutakie usomaji mwema, upate maarifa sahihi na uweze kuchukua hatua kwa ajili ya mafanikio yako.

NB; OFA Hii ni kwa watu 100 TU! Na Kama utachukua Vitabu Vinne(4) Utapata kimoja BURE.

Anza na maarifa sahihi kisha chukua hatua .

Rafiki yako anayekupenda sana,

Sir Rama |Copywriter | |Sales Officer Of Soma Vitabu Tanzania|.

Tuendelee Kujifunza…

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post