ONYO; Kama Unajua Wewe Ni Mvivu Usisome Hapa…

ONYO; Kama Unajua Wewe Ni Mvivu Usisome Hapa…

Nakumbuka ilikuwa 21/12/2010 baada tu ya kurudi mazoezini (jogging) mida ya saa 12 na dakika 30 jioni maeneo ya kijenge ya juu Arusha-Tanzania…

Kama ilivyokuwa kawaida enzi zangu baada ya kutoka bafuni nikapata kifungua kinywa kisha nikawasha simu yangu (NOKIA) nikaingia mtandaoni kwa ajili ya kuangalia kilichojiri.

Lengo ilikuwa ni kupata taarifa nyingi za kutosha ili kesho yake nikawa simulie marafiki zangu juu ya yote yaliyojiri ambayo hawajayasikia. Hawakuyasikia.hawayajui..

Kabla ya kwenda mazoezini niliweka lengo baada ya kurudi nisome kitabu kinachoitwa THINK AND GROW RICH kilichoandikwa na Napolean Hill. Cha kushangaza nilikosa hamasa kabisa ya kuanza kukisoma .

Baada tu ya kuingia kwenye mtandao wa facebook nilikutana na habari motomoto za kitaifa, kimataifa, udaku na michezo,

…na pia bila kusahau nilikutana na picha nyingi sana za marafiki zangu wakiwa wamepost picha zao, kazi yangu ikawa ni kulike na kucomment kila habari iliyokuja mbele ya macho yangu nilihakikisha ninaisoma na kuimaliza.

Wakati nikiwa naendelea kusoma kila habari ninayokutana nayo kwa muda huo, gafla nilikutana na picha ya basi la Mtei Express likiwa limepinduka,

…ni picha iliyonipa mshtuko kidogo nidondoshe simu yangu chini kwenye Tairizi, nilipata mshtuko kwa sababu AUNT Yangu siku hiyo alisafiri na alipanda hilo basi la Mtei Express.Baada ya kuchunguza kwa umakini nikagundua iyo ni taarifa ya jana yake.

Sijui kama umeshawahi kukutana na msala wa namna hii.

Kama bado usiombe kukutana nao kwa sababu hisia zake ni zaidi ya KUFIWA NA MTU UNAYEMPENDA SANA, hasahasa akiwa ni mtu wako wa karibu uliyemzoea.

Kusema kweli niliishiwa nguvu na kibaya zaidi nilikosa hamasa ya kuanza kusoma kitabu kizuri cha THINK AND GROW RICH, baada ya kumaliza kuperuzi.

Kushtuka! Kuangalia saa ni saa tatu (3) na dakika 19 usiku, nikiwa nmepoteza jumla masaa matatu (3) na dakika 19, nikiwa nmechoka sana utasema nilikuwa GYM.

…Sitosahau ilikuwa ni siku ya jumapili mida ya saa 11 na nusu (dakika 30) jioni nilikuwa nimekaa kwenye Restaurant moja hivii inaitwa SABASABA maeneo ya Philips –Arusha karibia na Mount Meru Hotel, huku nikiwa nakunywa maji makubwa ya Kilimanjaro kupunguza mawazo wakati nikiwa nimejikatia tamaa.

Nikaingia kwenye Youtube nikakutana na video inayoelezea jinsi ambavyo unaweza kuitawala teknolojia mpya na kupata hamasa isiyoisha.

…nikajisemea kimoyo moyo—Vipi kama hii video ningeipata siku nyingi siningekuwa nimepiga hatua sana?…

Nakumbuka usiku huo sikulala kabisa nilikesha kuiangalia na kunote kanuni na siri zote.

Kesho yake mapema nikaanza kuzitumia kanuni  na siri zote nilizojifunza kwenye video ile.

OMG! Kanuni na siri zote zilifanya kazi Kama uchawi

vile, mara nikamaliza kusoma kitabu chenye kurasa 300 ndani ya masaa matatu (3) tu! Ilipofika saa 10 jioni nilikuwa nimemaliza kusoma vitabu vitatu (3) vyenye kurasa 300.

…aisee niliona kama ni miujiza kwa sababu nilikuwa sijawahi kumaliza kusoma kitabu chochote nilichowahi kuanza kukisoma. Kwa ufupi nilikuwa simalizi kusoma kitabu nilichoanza kukisoma.

Ndani ya siku 7 niliweza kusoma vitabu 21 vyenye zaidi ya kurasa 300 bila usumbufu wowote.

Kwanza sikuamini nilidhani labda nimebahatisha huku

nikijisemea kimoyo moyo—Haiwezekani yaani kirahisi

rahisi tu hivi?”

Baada ya mwezi mmoja kupita rafiki yangu ASHIRAPH anaishi Kimandolu—akaniomba nimfundishe kanuni na siri zote ili na yeye aweze kuitawala teknolojia mpya,kuwa na hamasa isiyoisha na kumaliza kusoma vitabu alivyoanza kuvisoma ,

…pia aweze kusoma vitabu vyenye kurasa zaidi ya 300 kwa siku, sema la kweli sikuwa na imani kama siri na kanuni hizi zingefanya kazi kwake ila kwa sababu aliomba nikaamua tu kumfundisha hivyo hivyo.

Tukaanza Lecture mdogo mdogo…

Ndani ya siku 7 sikuamini macho yangu—kutoka kutokumaliza kusoma kitabu chochote alichoanza kukisoma mpaka ASHIRAPH anamaliza kusoma vitabu vinne (4) vyenye kurasa zaidi ya 300 kwa siku.

…kidogo nidondoke kwenye kiti baada ya habari hizo…

Yaani ASHRAPH katoka kwenye kutokujua chochote kuhusu -jinsi ya kutawala teknolojia mpya, na kutengeneza hamasa isiyoisha mpaka kumaliza kusoma vitabu vinne (4) Kwa siku ndani ya siku 7 tu!…

Na hii ndio ikawa mwanzo wa sababu ya kukushauri usome vitabu hivi viwili (2) ;

  1. MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.

2. EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.

…vitabu hivi viwili (2) sio kwa ajili ya kila mtu (na sio kwa ajili ya wavivu) ni maalumu kwa wale tu waliodhamiria na kujitoa kwa dhati kabisa kufanikiwa. Wanaotaka kuitawala teknolojia mpya na kuwa na hamasa isiyoisha.

Thamani ya vitabu vyote viwili (2) ni Tshs 100,000…LAKINI leo utavipata Vyote Viwili (2) kwa OFA ya Tshs 39,999Tu!

Kwahiyo Kama unataka kuwa miongoni mwa watu 29 wa kwanza kupata vitabu hivi kwa ofa ya Tshs 40K Tu (Badala ya Tshs 100K) nipigie Sasahivi au tuma ujumbe WhatsApp kwenda namba 0752-977-170 sasahivi!

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Rama|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu, www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post