Siri Wanayoendelea Kuitumia 90% Ya Wataalam Duniani Ambayo Bado Haujaanza Kuitilia Maanani!…

Rafiki Yangu,

Kama umeweza kusoma hapa,

…..basi SIO SIRI TENA.

Kwa sababu unakwenda kuungana na 90% ya watabe duniani.

Ukweli ni kwamba hakuna asiyependa kuwa mtaalamu (Mtabe) ata wewe hapo si ndio?…

Kama ni ndiyo Vuta Pumzi, Relax…

Tuendelee kujifunza kutoka kwa 90% ya wataalam (watabe) duniani…

Hapo Zamani,

Mtaalamu  – Benjamin_Franklin, Alinukuliwa Akisema,

“Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.”

Mara zote huyu mtaalamu alikuwa  anasisitiza umuhimu wa kuwa na maarifa,

Kwa hiyo kama na wewe unataka kuongeza kipato chako zaidi ya unavyopata sasa huna budi kujifunza.

Kipato unachopata kwa sasa ni matokeo ya elimu na ujuzi ulionao.

Hivyo kama unataka kuongeza kipato chako zaidi, anza kwa kujifunza zaidi.

Jifunze kuhusu kazi unayofanya, jifunze kuhusu biashara, jifunze kuhusu ushawishi na mengine yatakayokuwezesha kutoa thamani kubwa zaidi kwa wengine.

Na  inapokuja kuhusu fedha yenyewe sasa , unapaswa kujifunza misingi sahihi ya kuipata zaidi , kuitunza na hata kuizalisha zaidi.

Kuna matatizo mawili TU! yanakuzuia usipate fedha.

Tatizo la kwanza ni kukosa maarifa sahihi ya kifedha, hivyo kutokujua kwako hatua sahihi za kuchukua kunakugharimu .

Tatizo la pili ni kutokuchukua hatua sahihi katika kuzipata fedha, mfano kutokutoa THAMANI KUBWA, kutokuweka AKIBA, kutokuwekeza na kadhalika.

Kwa uzoefu wangu , tatizo kubwa zaidi ni la kwanza, kwa sababu kutokuwa na maarifa sahihi , kumewafanya wengi kuchukua hatua ambazo siyo sahihi.

Hebu fikiria hujui unaenda wapi, lakini unakwenda kwa kasi sana, je utafika wapi? Hivi ndivyo wengi walivyo kwenye fedha, hawana maarifa sahihi lakini wanachukua hatua , hamnazo zinawapoteza zaidi.

Maarifa ni uwekezaji usiochuja . Ukiwekeza kwenye maarifa unapata gawio kubwa na la uhakika mara zote.

Hakuna anayeweza kukuibia wala kukudhulumu uwekezaji uliofanya ndani yako.

Mfano ukisoma kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, utaondoka na maarifa yatakayokuwezesha kuongeza kipato chako na hakuna awezaye kukuzuia ukishakuwa na maarifa haya.

Maana utaondoka na msingi muhimu sana kuhusu fedha ambao ni KUTOA THAMANI.

Kwa kuanzia hapo ulipo sasa, utaweza kuongeza kipato chako kadiri utakavyo. Jaribu LEO uwekezaji huu na hakika hutabaki hapo ulipo sasa.

Kinachoshangaza na kustaajabisha ni hiki,

Watu wakipewa nafasi ya kuchagua kati ya fedha na maarifa ya kifedha, wanakimbilia fedha na kuachana na maarifa ya kifedha.

Kinachotokea ni wanazipoteza fedha hizo kwa kukosa maarifa sahihi ya kuzisimamia na kuzitumia.

Kama bado hujasoma kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, basi hujayapata maarifa sahihi ya kifedha na hivyo upo kwenye hatari ya kupoteza kila fedha unayoipata.

Usiendelee kujichelewesha TENA.

Swali la msingi ni, JE Unachukua Hatua Gani Kuongeza Kipato Chako?

Ndani Ya  kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, kimezungumzia “ MBINU ZILIZOWASAIDIA MAMILIONI YA WATU KUONGEZA VIPATO VYAO”

Kwa kusoma kikamilifu, na kufanyia kazi yale yote utakayojifunza kupitia kitabu hiki, mategemeo yangu ni kwamba;

  • Utaelewa misingi muhimu ya fedha na kuweza kuiishi, kuanzia kifikra mpaka kimatendo.
  • Utaweza kuongeza kipato chako kupitia shughuli unayofanya sasa na hata kuanzisha chanzo kipya cha kipato.
  • Utaweza kupunguza matumizi yako na kudhibiti matumizi.
  • Utaanza kuweka akiba kama bado, na kuendelea kuboresha uwekaji wako wa akiba kama ulishaanza.
  • Utaanza Kuwa Na Uwekezaji.
  • Utaanzisha biashara au kuimarisha biashara ambayo tayari umeshaanza.
  • Utakuwa na bima kwa maeneo muhimu ya maisha yako.
  • Utawafundisha watoto wako misingi muhimu ya kifedha.
  • Utatumia fedha zako kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.
  • Utaanza safari ya kuelekea kwenye utajiri na uhuru wa kifedha , hutarudi tena kwenye umasikini na madeni.

Rafiki, Kitabu hiki ni tofauti kabisa na vitabu vingine. Siyo kitabu cha kusoma na ukafurahia kwamba umekisoma, bali ni kitabu kinachokutaka uchukue hatua ili maisha yako yawe bora zaidi.

Hivyo baada ya kusoma kitabu hiki, nashauri uchukue hatua hizi tatu muhimu;

Moja; Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato. Kama umeajiriwa anzisha biashara ya pembeni , hata kama ni ndogo kiasi gani. Kuwa na kitu cha ziada unafanya , ambacho hata kama mwanzoni hakikupi kipato , kinakutengenezea njia ya kuwa na kipato zaidi baadaye.

Mbili; Kuwa na uwekezaji ambao unafanya. Uwekezaji huo uwe unafanya kidogo na kurudia rudia.

Tatu; Endelea kujifunza kuhusu fedha, biashara na hata mafanikio kwa ujumla.

Kwa kuchukua hatua hizi tatu, utaongeza kipato chako maradufu na hutadharaulika tena.

Bado Wataalam wanaendelea kutusisitiza kwamba…

Kesho ndio kifo cha watu wengi kufikia ndoto zao kubwa za ushindi.

Watu hawa wanajua kabisa ni kitu gani wanataka.

Na wanajua ni hatua gani wanahitaji kuchukua, lakini inapofikia kuchukua hatua nguvu zote zinawaishia na kusema nitafanya kesho.

Hii inakuwa njia rahisi sana ya kutoroka kufanya mambo makubwa ambayo,

….yangepelekea kufikia ushindi mkubwa kwenye maisha yao.

Na Ili Kupata Kitabu Chako Piga Simu au Tuma Meseji Kwenda Namba 0752977170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Tanzania na Afrika Mashariki.

MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako. Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.

NYONGEZA; Unaposoma kitabu hiki, kuwa na kijitabu ambacho unaandika yale unayojifunza.

Mwisho wa kila somo kutakuwa na maswali ya kujiuliza na kujijibu na hatua za kuchukua. Yote hayo yaandike kwenye kijitabu chako kwa rejea ya baadaye.

Jambo muhimu sana ambalo nitaendelea kukusisitiza kila mara ni kwamba hakuna kitu kitakachofanya kazi kama wewe hutachukua hatua.

Nikutakie usomaji mwema, upate maarifa sahihi na uweze kuchukua hatua kwa ajili ya mafanikio yako.

Wako,

Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Rama | Copywriter Of Soma Vitabu Tanzania|

www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post