Upo Wapi? Utofauti Wa Kitabu Hiki Na Vitabu Vingine Vya Ujasiriamali.

Upo Wapi? Utofauti Wa Kitabu Hiki Na Vingine…

Rafiki Yangu Mkubwa,

Tangia kitabu hiki kipya cha MJASIRIAMALI MJANJA kimetoka mwezi huu wa 9.

Tumepokea simu nyingi sana kutoka kwa wateja wetu na wateja wengi wapya,

Na swali ambalo wamekuwa wakituuliza mara zote ni,

Upo Wapi Utofauti Wa Kitabu Hiki Na Vitabu Vingine Vya Ujasiriamali?

Mara zote huwa tunawajibu kwa kuwaambia hivi,

UTOFAUTI MKUBWA WA KITABU HIKI NA VITABU VINGINE VYA UJASIRIAMALI NI HIKI HAKIKUONYESHI TU UPANDE WA WAZO,

BALI PIA KINAKUONYESHA UPANDE WA KULILETA WAZO HILO KWENYE UJASIRIAMALI. Na pia kinakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kulifikia soko na jinsi ya kuuza bidhaa au huduma.

Na wengine wameenda mbali zaidi na kutaka kujua yaliyomo,

Kwa sababu kazi yetu ni kuelimisha basi kwa unyenyekevu huwa tunatenga muda na kuwafundisha yaliyomo ndani ya kitabu hiki kipya cha MJASIRIAMALI MJANJA.

Hivyo wenyewe wanafurahia baada ya kufundishwa vizuri.

Kwanza huwa tunawaambia ndani ya kitabu hiki wanapata nafasi ya kujifunza MASOMO 10 YA MOTO.

Na Orodha Ya Masomo Inakuwa Kama Ifuatavyo;

SOMO LA KWANZA;
Lina Mzungumzia Mjasiriamali Mjanja Kwa Ujumla Ni Mtu Wa Namna Gani, ina maana baada ya kusoma somo hili utakuwa umejua kuishi kijasiriamali na kufanya kijasiriamali na kubwa zaidi utajifunza sheria 10 za Ujasiriamali,

… na utajifunza kuuza bidhaa au huduma zako kwa urahisi na kwa haraka hivyo utafanikiwa sana kupitia uuzaji.

Ina maana utaweza kujitofautisha kwa haraka sana na maelfu ya wajasiriamali wengine.

SOMO LA PILI;
Utajifunza Masomo 15 Ya Ujasiriamali, na kubwa zaidi utajifunza mbinu za kuongeza wateja zaidi na kukuza mauzo ina maana utaingiza fedha  nyingi sana baada ya kufikia wateja wengi na kuuza zaidi.

SOMO LA TATU;
Utajifunza Maeneo Matano (5) Ya Kuimairisha Biashara Yako, na Jinsi 3 Kubwa Za Kujitofautisha Kwenye Biashara Yako,

…Ina maana utatengeneza mahusiano mazuri ya kibiashara na kupata wateja wengi zaidi.

SOMO LA 4;
Utajifunza Mambo 68 Unayopaswa Kuyajua Ili Ufanikiwe Kwenye Biashara Zako, na pia utajifunza AMRI 10 ZA BIASHARA,

…ina maana baada ya kusoma somo hili utaweza kuikuza biashara zako kwa haraka sana kuliko washindani wako.

SOMO LA 5;
Utajifunza Njia 10 Za Kuikuza Biashara Yako, na kubwa zaidi utajifunza Maswali 50 Ya Kujiuliza Ili Kujitambua Ili Uweze Kuchukua Hatua Sahihi,

… hivyo ili mwisho uweze kupata kila unachotaka kwa kuanzia hapo ulipo.

SOMO LA 6;
Utajifunza Jinsi Ya Kufanya Masoko Ya Kistaarabu, na pia utajifunza mtu muhimu sana unayepaswa kumfanyia masoko,

…hivyo utapata wateja sahihi wengi na kuongeza mauzo yako ×10 zaidi kuliko washindani wako.

SOMO LA 7;
Utajifunza Maeneo Matatu (3) Ya Kuzingatia Ili Uwe na Ushawishi Zaidi na Kubwa Zaidi Aina 6 Za Uwasilishaji (Pitch) Wakati Wa Mauzo , ili kuwa na ushawishi mkubwa kwa wengine,

…hivyo utawavutia watu sahihi kuja kwako bila kutumia nguvu kubwa sana na watu watafurahia kujihusisha na wewe.

SOMO LA 8;
Utaweza Kuzisoma Namba Za Kibiashara Na Taarifa Za Kifedha, Taarifa Za Mzunguko Wa Fedha , Aina 4 Za Uwiano Wa Kibiashara Muhimu Kujua,

…hivyo utaweza kukabiliana na CHUMA ULETE.

SOMO LA 9;
Utajifunza Mfumo Mzima Wa Kuiendesha Biashara Yako Kisasa na pia utayajua Makosa 8 Yanayowazuia Watu Kunufaika na Mfumo Wa Biashara,

…hivyo utaongeza faida kubwa ndani mda mchache na biashara yako kukua zaidi ya ulivyozoea.

SOMO LA 10;
Utajifunza Jinsi Ya Kutengeneza Maisha Ya Mafanikio Kwa Kufanya Unachopenda Na Kupenda Unachofanya, utajifunza kulijua kusudi la maisha yako, kuweka malengo na mipango, kutengeneza mtazamo sahihi , kutengeneza mwendo na msimamo,

Na kubwa zaidi UTAJIFUNZA HATUA 8 ZA KUTENGENEZA MAISHA BORA NA YENYE MAFANIKIO MAKUBWA.

Hivyo utayafurahia maisha na utakuwa msaada kwa familia, ndugu na jamii kwa ujumla.

Baada ya kuwapa majibu haya wengi wameridhika na wamepelekewa na wengine wametumiwa kitabu hiki cha MJASIRIAMALI MJANJA,

Na sasahivi wanavifurahia vitabu vyao.

Wamekipata Kwa Bei Ya Ofa Ya Tshs 19,999Tu! Badala Ya Elfu 30.

Piga namba hii 0752977170.

Na wewe uletewe au utumiwe,
Ndani Ya Dar es salaam ni Free Delivery, Mikoani Utachangia Gharama Ya Usafiri Kulingana Na Mkoa Uliopo.

KUMBUKA; Kesho Tarehe 30|9|2022 Ndiyo Mwisho Wa Ofa Hii.

Karibu Sana.

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post