INATISHA; Kwanini Wakulima Wengi Wanakufa Masikini?

INATISHA! Kwa nini Wakulima Wengi Wanakufa Masikini?

Rafiki Yangu,

8|8 Kheri Ya Siku Kuu Ya Wakulima.

Licha ya kwamba kilimo ni uti wa mgongo.

Bado wakulima wengi ni masikini na wanaishi maisha duni sana.

Inasikitisha na inauzunisha sana.

Licha ya serikali na wadau mbalimbali wa kilimo kuweka juhudi kubwa kwenye kilimo.

Licha ya juhudi hizo zote cha kushangaza zimegonga mwamba.

Na wengi wanajiuliza kwanini inakuwa hivyo?

Hata wakulima wenyewe hawajui ni kwanini inakuwa hivyo.

Na kinachowashangaza zaidi ni kwamba uhitaji unazidi kuwa mkubwa sana siku hadi siku.

Kwa sababu kila siku watu lazima wale chakula.

Lakini wakijiangalia hawaoni hatua wanazopiga.

Bado wapo pale pale miaka nenda rudi.

Baada ya kufanyika tafiti mbalimbali

Imegundulika 90% ya wakulima wengi ni masikini na wengine ni masikini wa kutupwa.

Imegundulika tatizo sio kilimo tatizo ni wanaolima.

Licha ya kulima kila msimu.

Licha uhitaji kuwa mkubwa lakini bado wanaonufaika na kilimo ni wachache sana.

Na ukiangalia idadi ya hawa wanaonufaika na kilimo kwa jicho la kawaida ni ndogo sana.

Ukilinganisha na wengi.

Na inakatisha tamaa sana.

Na imekuja kugundulika kwamba hawa wachache wanaonufaika na kilimo wana siri ambayo wanaitumia.

Siri Iyo Ni Ipi?

Siri Iyo Ni MAARIFA SAHIHI YA KIFEDHA.

Hivyo maarifa sahihi ya kifedha yanawasaidia kutoa thamani zaidi na kupiga hatua kubwa msimu hadi msimu.

Na hii imekuja baada ya kugundua kwamba fedha ni zao la thamani.

Na mara zote fedha ufuata thamani.

Na kama unataka fedha zaidi inakubidi utoe thamani zaidi.

Hawa wachache walichokifanya ni kuyaongezea thamani mazao yao.

Kisha boom!

Na hivyo kupiga mpunga wakutosha (kupata fedha zakutosha).

Hujachelewa, hata wewe leo hii unaweza kupata maarifa hayo na ukapindua meza.

Na Maarifa Hayo Wanapatikana Kwenye Kitabu Kimoja Kinachoitwa ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.

Kina Maarifa Yote Sahihi Ya Kifedha Na Siri Kibao Ambazo Matajiri Wengi Wamekuficha.

Namshauri kila mkulima asome kitabu hiki ili aweze kujikomboa kiuchumi Na kupindua meza mpaka wamshangae.

Na KWA SABABU LEO NI NANE NANE.( SIKU KUU YA WAKULIMA)

Habari njema ni kwamba kitabu hiki leo unakipata kwa Tshs 19,999Tu Za Kitanzania Badala Ya $20.

Na Habari nzuri zaidi ni kwamba ukikilipia leo unapata na cha KWANINI MPAKA SASA WEWE SIYO TAJIRI.

BURE! Kabisa.

Nacho kinakupa sababu 25 za kwanini wewe mpaka sasa umeendelea kuwa masikini licha ya juhudi kubwa unazoweka kila siku.

Fikiria! Kwa Tshs 19,999Tu! Unapata Siri Zote Wanazozitumia Matajiri Kila Siku Na Hivyo Kuwafanya Kuzidi Kutajirika Siku Hadi Siku.

Kukipata ni Rahisi Sana Kama Unanawa.

Fanya Hivi Piga Simu 0752977170.

Au Tuma Meseji Yenye Maneno MAARIFA SAHIHI YA KIFEDHA.

Kwenye Namba 0752977170.

Ndani Ya Dar es salaam Utaletewa Ulipo.(FREE DELIVERY).

Mkoani Utatumiwa Kwa Basi.

Kwa ZANZIBAR Utatumiwa Kwa BOTI LA ZANZIBAR ONE.

KUMBUKA; Ni Leo Na sio Kesho.

Kesho Utakuwa Umechelewa.

Karibu Uhudumiwe.

Tunakupenda.

Shabiki Yako Namba 1.

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|