MIJADALA YA KLABU YA SOMA VITABU

Kupitia channel ya SOMA VITABU TANZANIA tunayo klabu ya usomaji vitabu ambapo kila wiki siku ya jumamosi saa mbili usiku mpaka saa nne usiku tunakuwa na mjadala wa kitabu.

katika mijadala hiyo tunashirikishana yale tuliyojifunza kwenye kitabu cha wiki hiyo, hatua ambazo tunakwenda kuchukua na pia kuuliza maswali au kupata ufafanuzi zaidi kwenye maeneo ambayo hayajaeleweka vizuri.

kuweza kushiriki mijadala hii, karibu ujiunge na channel ya SOMA VITABU TANZANIA kwa kubonyeza maandishi haya.

Hapo chini ni mijadala ya nyuma ambayo unaweza kusikiliza na kujifunza mengi.

Karibu sana.

  1. Mjadala wa kitabu SOO GOOD THEY CAN’T IGNORE YOU cha CAL NEWPORT

2. Mjadala wa kitabu LIMITLESS CHA JIM KWIK

3. Mjadala wa kitabu SKIP THE LINE cha JAMES ALTUCHER

4. MJADALA WA KITABU THE PRACTICE cha SETH GODIN

5. MJADALA WA KITABU EVERYTHING IS FIGUREOUTABLE CHA MARIE FORLEO

6. Mjadala wa kitabu; THE PSYCHOLOGY OF MONEY cha Morgan Housel

7. Mjadala wa kitabu Secrets of Millionaire Mind cha T. Harv Eker

8. Mjadala wa kitabu ZERO TO ONE cha Peter Thiel

9. MJADALA; SMART PEOPLE SHOULD BUILD THINGS CHA ANDREW YANG

10. MJADALA; HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE CHA DALE CARNEGIE

11. MJADALA; THE WEALTHY GARDENER

12. MJADALA; ANYTHING YOU WANT cha DEREK SIVERS