Njia Hii Itaharakisha Safari Yako.

Njia Hii Itaharakisha Safari Yako…

Rafiki Yangu,

Swali la msingi kabisa kwako rafiki yangu ni hili; najua unayataka mafanikio
kwenye maisha yako,

……lakini je una mwongozo sahihi wa kukufikisha kwenye mafanikio hayo?

Nimekuuliza swali hilo kwa sababu
hapo ndipo watu wengi wamekuwa wanashindwa.
Wanayataka mafanikio,

….lakini hawana mwongozo sahihi wa kuyapata.

Kinachotokea ni watu kujikuta wakihangaika na kila njia au fursa inayopita
mbele yao.

 Kila kipya anachosikia kinaleta mafanikio anahangaika nacho.

Mwisho anajikuta amehangaika na mengi, amechoka lakini hakuna matokeo mazuri
ambayo ameyazalisha.

Hicho ndiyo ninataka kukuepusha nacho wewe rafiki yangu, kwa kuhakikisha
unakuwa na mwongozo sahihi unaoufuata ,

…….ili kuweza kufika kwenye mafanikio makubwa kwenye maisha yako.

Habari njema ni kwamba mwaka huu 2022 unaweza kuharakisha safari yako ya
mafanikio kwa kusoma KITABU; MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.

Huenda umesoma vitabu na maarifa mengi kuhusu mafanikio.

Na huenda umeshaona siri za mafanikio ni zile zile,

……….kujua unachotaka,

 ……….kujitoa kweli kukipata na kuwa mvumilivu katika kukifanyia kazi.

Unaweza Ukawa Unajiuliza Ni Kwanini Usome Kitabu Hiki Cha MWONGOZO WA MAISHA
YA MAFANIKIO?..

Jibu ni  kwa sababu kitabu hiki ni cha tofauti kabisa na vitabu vingine
vya mafanikio.

Wakati vitabu vingi vya mafanikio vikikupa hamasa ya kukuonyesha inawezekana
na unaweza,

Kitabu hiki ni mwongozo, kinakupa yale ya kufanyia kazi ili kweli ufanikiwe.

Hiki siyo tu kitabu cha kusoma na kujisikia vizuri kuhusu mafanikio, ukapata
hamasa na ikaishia hapo.

Bali ni kitabu cha kuenda nacho kwa maisha yako yote, kukitumia kama rejea
kwenye safari yako ya mafanikio.

Ni kitabu kinachogusa maeneo yote muhimu kwenye safari yako ya mafanikio.

Kikianza na maana ya mafanikio, ambayo haijawahi kufanana kati ya mtu mmoja
na mwingine.

Wengi wanahangaika kukimbizana na mafanikio ambayo siyo yao, kwa sababu
hayaendani na maana yao ya mafanikio.

Kitabu kitakusaidia kutengeneza maana yako ya mafanikio inayoendana na wewe.

Halafu kuna ubatizo wa mafanikio, kitu muhimu mno ambacho watu wengi
wanakikosa na ndiyo maana hawafanikiwi.

Ninachoweza kukuambia ni hiki, watu wote waliofanikiwa wamepata ubatizo wa
mafanikio na watu wote walioshindwa wamekosa ubatizo huo.

Kitabu kitakuonyesha jinsi ya kupata ubatizo huo ili ujipe uhakika wa
kufanikiwa.

Kuna swala la maamuzi, ambalo kwa wengi limekuwa mtihani.

Wengi hufanya maamuzi kwa mazoea au kwa kusukumwa na hisia, kitu ambacho
huwa hakileti matokeo mazuri.

Maamuzi unayofanya kila siku yanajenga au kubomoa mafanikio yako.

Kitabu kitakuongoza kufanya maamuzi bora kwako ili uweze kufanikiwa.

Falsafa ni muhimu sana kwenye maisha ya mafanikio.

Kama huna unachosimamia basi jua chochote kitakuangusha.

 Wengi wanaishi falsafa wasizozijua na ambazo hazina manufaa kwao.

Kwenye kitabu hiki unakwenda kujifunza falsafa bora kabisa inayoendana na
maisha ya mafanikio ambayo ni falsafa ya Ustoa (Stoicism).

Hii ni falsafa ambayo wengi wa waliofanya makubwa hapa duniani wamekuwa
wakiishi.

Kwenye kitabu utajifunza mazoezi muhimu ya kuiishi falsafa hii kila siku.

Kikubwa zaidi ni sheria 100 za maisha ya mafanikio unazokwenda kujifunza
kwenye kitabu cha MWONGOZO wa maisha ya mafanikio.

Bila sheria ni rahisi mtu kuendeshwa na hisia ambapo matokeo yake huwa siyo
mazuri.

Ili upate mafanikio makubwa kwenye maisha yako, unapaswa kuzijua na
kuzifuata sheria 100 muhimu utakazojifunza kwenye kitabu.

Na mwisho kitabu kina shuhuda za watu mbalimbali walioshiriki changamoto ya
siku 30 za kufanya kitu bila kuacha hata siku moja.

Hii ni changamoto tuliyoianzisha kwenye KISIMA CHA MAARIFA na ambayo imeleta
matokeo makubwa sana kwa kila aliyeishiriki.

Kupitia kitabu utapata pia nguvu ya kujipa changamoto ya kufanya makubwa kwa
upande wako.

Rafiki, hiki ni kitabu ambacho hupaswi kukikosa,

… maana ndiyo mwongozo sahihi kwako kufikia kwenye mafanikio makubwa ambayo
unayataka kwenye maisha yako.

Maarifa hayo yote mazuri unakwenda kuyapata kwa gharama ya tsh elfu
19,999tu!

Badala Ya Tshs 29,999 SAVE Tshs (10,000) NZIMA.

Jipatie nakala yako ya kitabu cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO leo hii
ili ukae sawa kwenye safari yako ya mafanikio na usibabaishwe na yeyote.

Kupata kitabu hiki,

Piga simu au tuma meseji kwenda  namba 0752
977 170
na utaletewa kitabu kama upo Dar na kama upo mkoani utatumiwa kule
ulipo.

Usiendelee kujichelewesha kwenye safari yako ya mafanikio,

Jipatie nakala yako leo hii ili uwe na mwongozo sahihi wa kufanikiwa kwenye
maisha.

Kutoka Kwa Shabiki Yako Anayekujali Sana.

Bwana AmiriRamadhani |CopywriterOfSOMAVITABUTANZANIA|

Karibu. www.somavitabu.co.tz