Zaidi Ya 87% Wamesema Ndio, Wewe Ungesemaje?

Zaidi Ya 87% Wamesema Ndio, Wewe Ungesemaje?

Rafiki Yangu Mpendwa,

Vp  Hali Yako?

Baada ya kufanyika tafiti mbalimbali imegundulika kwamba watu zaidi ya 87% wapo tayari kuacha tabia ambazo hawazipendi.

Ila bado wameendelea kuzingangania.

Na kinachosikitisha zaidi ni kwamba hawajui mbinu rahisi zitakazo wasaidia kuacha tabia hizo.

Na kwa sababu hawajui mbinu hizi rahisi wameendelea kuzibeba tabia ambazo hawazipendi huku zikiwaumiza.

Usiwe na wasi wasi,

Kwa sababu sekunde chache zijazo utaenda kugundua mbinu rahisi zaidi za kuacha tabia yoyote usiyoipenda.

Na kujenga tabia za mafanikio.

Unapenda kufanikiwa sio ndio?

Kama ni ndio jifunze zaidi kupitia huu mfano mfupi.

Hii ilitokea 2007.

 Ilitokea Kwenye Kijiji ambacho Kipo Karibu na Milima Ya Uluguru Morogoro.

Palikuwepo na Kijana wa miaka 35.

Aliyejulikana kwa jina la KUDRA.

Kudra alikuwa ni mlevi wa pombe za kienyeji yaani haipiti siku bila kunywa pombe. Mwenye tabia ya kunywa pombe kila siku

Na Kwa sababu ya ulevi wake, mara nyingi aligombana na kila aliyehusiana naye.

Na ilifikia kipindi akawa anampiga mke wake kila siku.

Kwa sababu pombe siyo chai.

Na hali hiyo ilimkasirisha sana mke wake.

Alijaribu kila mara kumshawishi mume wake aaache pombe.

Haikuishia hapo, Hata Ndugu zake walijaribu mara nyingi iwezekanavyo kumshawishi aache kunywa pombe.

Hata pale KUDRA alipojaribu kuacha pombe mwenyewe lakini mara zote alishindwa kuacha kabisa.

Hali hiyo ilimpelekea kuwa na stress (Msongo wa mawazo).

Na kushindwa kujua afanye nini ili aache pombe kabisa.

Na hata wale wote walioendelea kumshawishi kuacha pombe licha ya kujaribu kuacha kila mara na kushindwa akawa anawajibu.

Sijaingangania hii tabia hii tabia ndio  inaningangania kama kupe vile.

Mke  alimuonea huruma sana mume wake.

Na siku zilivyozidi kwenda mbele zaidi.

Hali yake ya Afya ilizidi kudhoofu.

Gafla,

Siku moja Mzee KONDO alienda kwenye kijiji chao.

Na kwa sababu Mzee KONDO ni maarufu sana.

Na aliyesifika kwa hekima.

Basi Mke wa KUDRA akamshawishi mume wake, waende kumsalimia na kuchukua hekima kidogo.

Jamaa akakubali wakaenda kwa Mzee KONDO.

Baada ya kumaliza kusalimiana.

Mzee KONDO  akawauliza,

Mna tatizo lolote?.

Wakamwambia  tatizo walilonalo.

Mzee KONDO akaelewa mzizi wa tatizo lao.

Na akawataka KUDRA na mke wake warudi tena kesho kwa ajili ya kupata suluhisho.

Kesho ilipofika, KUDRA na mke wake walirudi kwa Mzee KONDO.

Na kumuona Mzee KONDO amesimama chini ya mti mkubwa.

KUDRA  akamuuliza Mzee KONDO; ” Unafanya Nini Hapo Mzee Wangu?*

Kwa nini unaungangania huo mti?

Mzee akawataka waondoke warudi kesho tena Asubuhi.

Kesho Yake Asubuhi waliwasili wote kwa pamoja.

Walimkuta Mzee KONDO amesimama pale pale walipomuacha jana chini ya ule mti mkubwa.

Kwa mshangao !

Mzee KONDO akawataka waondoke alafu warudi kesho tena Asubuhi.

Hii iliendelea kwa wiki Moja (1) mfululizo.

KUDRA  akashikwa na hasira na kumuuliza Mzee KONDO.

* Mzee KONDO, Ni Nini Ichi Unatufanyia?*

* Kwa nini hutaki kutoka kwenye huo Mti?

Mzee KONDO akamjibu, * Kwani Unatakiwa Ufanye Nini?*

Hakuishia hapo aliendelea kumwambia.

Huu Mti umegoma kuniachia na umeniganda Kama kupe vile.

KUDRA akacheka kwa sauti  na kusema .

*Mzee KONDO  umeungangania sana huo mti uchoki?*

Mti hauwezi  kukungangania.

Unaweza  kuachilia muda wowote ukitaka kwa vyovyote vile.

Mzee KONDO akamwangalia KUDRA kwa KUKUNJA SURA na kumwambia .

Hiki Ndicho Ninachotaka Ukielewe Kwenye Siku Hizi Zote *

Ni wewe ambaye unaingangania na  unaikumbatia hiyo tabia ya kunywa pombe.

Tabia haikunganganii wewe na haikugandi.

Unaweza kuiacha kwa vyovyote vile ukitaka.

Baada ya kumsikiliza Mzee KUDRA akagundua kosa lake .

Na kuelewa kwamba anawajibu na kila tabia yake.

Hiki kilimnyongonyesha sana.

Na kujikumbushia hekima alizopewa na Mzee KONDO.

Na unaweza kuiacha kwa vyovyote vile ukitaka.

Kwa upendo kabisa.

TUNAJIFUNZA KWAMBA.

Mara zote tunaona kwenye maisha yetu kwamba,

Watu wanachukizwa sana na tabia zao mbaya.

Wanataka kuziacha.

Lakini hawapotayari kuziacha bali wanazingangania.

Na hii tabia inaweza kuwa yoyote

Kama tabia ya kusema uongo au kudanganya.

Tabia ya kunywa pombe kupitiliza.

Tabia ya kuamka asubuhi na mapema.

Na hata tabia ya umbeya na KUCHUKIA WATU BILA SABABU ZA MSINGI.

Watu wanajua kwamba tabia zao ni mbaya.

Na pia wanataka kuziacha

Lakini hawapo tayari kuziachilia.

Na sababu kubwa kwenye hili ni kishindwa kuamua kuziachilia kwa dhati kabisa.

Na ukiamua kwa dhati kabisa hakuna tabia mbaya au usiyoipenda yoyote inaweza kukufanya mtumwa.

Uzuri ukiweza kubadili tabia mbaya ambazo zinakurudisha nyuma  bila shaka utaweza kupiga hatua kubwa sana.

Hivyo itakuwa rahisi sana, kutimiza ndoto zako.

Waliofanikiwa wanajua mbinu hizi.

Hivyo na wewe ukizitumia leo hii ni lazima ufanikiwe.

Wewe mwenyewe unajua kinachosababisha usifanikiwe ni izo tabia zako.

Lakini Si Unataka kufanikiwa Si Ndio?

Najua umejibu ndio.

Basi fungua SURA YA 6 Kurasa Ya 126 Ya Kitabu Hiki Cha EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.

Na Anza Kusoma Polepole.

Na kwa wewe ambaye mpaka leo hauna kitabu hiki.

Usiwe na wasi wasi

Na kwa sababu unapendwa sana.

Leo unakipata kwa TSHS 14,999Tu! Badala Ya Tshs 20,000 NZIMA.

Kupata kitabu hiki ,

PIGA SIMU au Tuma Meseji Yenye Maneno “EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI” Kwenye Namba 0752977170.

Sasahivi! Piga Simu 0752977170.

Ndani Ya Dar es salaam Utaletewa Ulipo.(FREE DELIVERY).

Mkoani Utatumiwa Kwa Basi.

Kwa ZANZIBAR Utatumiwa Kwa BOTI LA ZANZIBAR ONE.

KUMBUKA; Ni Leo Tu!

Kesho Utakuwa Umechelewa.

Karibu Uhudumiwe.

Tunakupenda.

Shabiki Yako Namba 1.

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|