Elimu ya Msingi ya Fedha ni kitabu kizuri sana, baada ya kusoma kitabu hiki (Desemba 2020) nilipata maarifa makubwa yaliyonifanya niweze kuboresha namna sahihi ya kuidhibiti fedha, kuweka bajeti pamoja na kufanya uwekezaji kwa ajili ya baadae. Ahsante sana Kocha Makirita kwa zawadi hii nzuri. Nashauri kila mtu mwenye nia ya dhati ya kutaka kufikia uhuru wa kifedha asome kitabu hiki.
Mwalimu Hemedi –