ELIMU YA MSINGI YA FEDHA

(1 customer review)

Sh20,000.00

Maarifa Sahihi Ya Kifedha Yatakayokufikisha Kwenye Utajiri Na Uhuru Wa Kifedha

Description

 

 

 

 

1 review for ELIMU YA MSINGI YA FEDHA

  1. Mwalimu Hemedi

    Elimu ya Msingi ya Fedha ni kitabu kizuri sana, baada ya kusoma kitabu hiki (Desemba 2020) nilipata maarifa makubwa yaliyonifanya niweze kuboresha namna sahihi ya kuidhibiti fedha, kuweka bajeti pamoja na kufanya uwekezaji kwa ajili ya baadae. Ahsante sana Kocha Makirita kwa zawadi hii nzuri. Nashauri kila mtu mwenye nia ya dhati ya kutaka kufikia uhuru wa kifedha asome kitabu hiki.

Add a review

Your email address will not be published.