Mambo mengi, muda mchache ni kauli maarufu sana enzi hizi. Mambo yakufanya yanaongezeka kila siku, lakini muda wa kufanya mambo hayo ni ule ule. Na hapa ndipo wengi wanapopata msongo.