Skudu Mwongozo; Kwani Mwongozo Wako Wa Kifedha Unaoneshaje?

Rafiki yangu unaweza ukawa unajiuliza kwani mwongozo wako wa kifedha ni upi?

Upo sahihi kabisa lakini ukiwa msikivu sekunde chache zijazo utauelewa mwongozo wako na hivyo itakurahisishia kuongeza kipato chako.

Ukweli ni kwamba kila mtu ana mwongozo wa kifedha alionao ambao ndiyo anautumia

kufanya maamuzi yote ya kifedha.

Mwongozo huo una nguvu kubwa kiasi kwamba ndiyo unatawala maamuzi yote ya kifedha.

Mwongozo huo uko ndani kabisa ya akili ya mtu na hauonekanikani kwa nje.

Watu wengi hawana uelewa huu ndiyo maana wanahangaika sana inapokuja kwenye swala la fedha.

Mtu kila akipata fedha matatizo yanakuwa mengi na zinaisha, asichojua ni mwongozo wake uko hivyo.

Mtu kila akianzisha biashara inakufa, anaweza kudhani ni hali ya uchumi au ushindani,

…ila shida inaanzia kwenye mwongozo wa ndani.

Na kwasababu kila kitu kimefanywa kwaajili yako basi nisikuchoshe rudia kufungua ukurasa wa 122 wa kitabu hiki cha *TABIA ZA KITAJIRI*.

Kama bado hujakipata bonyeza hapa *https://wa.link/g4xpfj* na wewe utaletewa au utatumiwa popote ulipo.

Na Hii Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Amiri Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania |

|SalesConsultant |

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post