Rafiki yangu unaweza ukawa unajiuliza kwani mwongozo wako wa kifedha ni upi? Upo sahihi kabisa lakini ukiwa msikivu sekunde chache zijazo utauelewa mwongozo wako na hivyo itakurahisishia kuongeza kipato chako.
Author: somavitabu
Fursa; Fungua Jicho la 3 Uione Hii Fursa.Fursa; Fungua Jicho la 3 Uione Hii Fursa.
Fungua Jicho La 3 Uione Hii Fursa* Hii ni Fursa Ambayo Wamekuwa Wakikuficha Siku Zote …Rafiki yangu, Hii Fursa Ina Sentensi 10 Fupi Fupi Ambazo Mtu Yeyote Ambaye ana Macho
Facebook & Instagram; Jinsi Alivyoweza Kuizidi Ujanja Mitandao Ya Kijamii Ndani Ya Nusu Mwaka Tu!Facebook & Instagram; Jinsi Alivyoweza Kuizidi Ujanja Mitandao Ya Kijamii Ndani Ya Nusu Mwaka Tu!
Ilikuwa Ni Mwezi Wa Kwanza Mwaka Huu. Rafiki yangu na wala hata sio mbali sana lakini ukisikia kilichomkuta Angel utamwonea huruma. Kwa kweli hii mitandao ilimburuza sana Angel vile itakavyo
Malengo 100%; Hii Ndio Njia Sahihi Inayotumiwa Na 1% Ya Wataalam Duniani Ya Kuweka Malengo Ambayo Utayafikia.Malengo 100%; Hii Ndio Njia Sahihi Inayotumiwa Na 1% Ya Wataalam Duniani Ya Kuweka Malengo Ambayo Utayafikia.
Rafiki yangu nakuamini unaweza kuyafikia malengo yako kwa 100%. Na pia naamini unaweza kufanya makubwa zaidi ya sasa. Ni kama juzi tu nilivyoonana na Shaqir Mwenge hapa Dar. Lakini ni
Artificial Intelligence (Akili Bandia); Mbinu Kabambe Za Kumshinda Akili Bandia (AI)Artificial Intelligence (Akili Bandia); Mbinu Kabambe Za Kumshinda Akili Bandia (AI)
Rafiki yangu kwa mfano leo ukifanikiwa kuzijua hizi mbinu hakika hautakuwa na stress tena na mabadiliko yanatokea sasa ulimwenguni, …kwasababu utazidi kuwa mtu bora zaidi. Haijalishi kwasasa hizi akili bandia
Hii Ndio Njia Wanayoitumia Kampuni Ya Tesla Kuongeza Kiwango Cha Faida.Hii Ndio Njia Wanayoitumia Kampuni Ya Tesla Kuongeza Kiwango Cha Faida.
Hii Ndio Njia Wanayoitumia Kampuni Ya Tesla Kuongeza Kiwango Cha Faida Kwenye Kampuni Yao… Rafiki yangu ni zamu yako sasa kutengeneza faida za kutosha kwenye biashara, endapo tu utaanza kuitumia
Biashara Unayoweza Kuanza Kuifanya Hata Leo.Biashara Unayoweza Kuanza Kuifanya Hata Leo.
*Biashara Unayoweza Kuanza Kuifanya Hata Leo* Rafiki yangu leo ni ile siku ambayo unayoenda kuijua biashara ambayo unayoweza kuanza kuifanya hata leo. Na ukiweza kuweka umakini wako hapa, …basi sekunde
Je Ukipata Fedha Mawazo Mazuri Yanapotea?…Je Ukipata Fedha Mawazo Mazuri Yanapotea?…
*Je Ukipata Fedha Mawazo Mazuri Yanapotea?* Kama umejibu ndiyo basi leo ni siku nzuri kwako kwasababu sekunde 60 zijazo utapata suluhisho la uhakika. Na hii hali huwatokea watu wengi sana,
Je Ungepewa Nafasi Moja Tu Kuyabadililisha Maisha Yako Leo… Ungeichukua?Je Ungepewa Nafasi Moja Tu Kuyabadililisha Maisha Yako Leo… Ungeichukua?
Je Ungepewa Nafasi Moja Tu Kuyabadililisha Maisha Yako Leo… Ungeichukua? Kama umejibu *NDIO* kwa moyo mmoja. …basi leo bahati ipo upande wako… …kwasababu TAARIFA Unzazoenda kuzisoma ndani ya sekunde 60
WALIOFANIKIWA; Vitu Vitatu (3) Vitakavyokupa Mafanikio Ya Kweli.WALIOFANIKIWA; Vitu Vitatu (3) Vitakavyokupa Mafanikio Ya Kweli.
Vitu Vitatu (3) Vitavyokupa Mafanikio Ya Kweli. Rafiki Yangu Ni Vitu Ambavyo Vitakusaidia Kufanya Maamuzi Sahihi Kwa Wakati Sahihi (Timing). Na bado nakumbuka maneno aliyoniambia Mzee Erick kabla ya kuaga