Rafiki yangu mpendwa, Hivi unajua kwamba una wajibu na furaha yako kwa 90%? Vipi kama leo nitakuambia wewe ndiye mkurugenzi wa maisha yako? Huku ukiendelea kutafakari tujikumbushe kutoka kwenye hadithi
Month: April 2021
Imegundulika, Uraibu Wa Matumizi Ya Teknolojia Mpya Ni Chanzo Cha Sonona (depression) Kwa Wengi.Imegundulika, Uraibu Wa Matumizi Ya Teknolojia Mpya Ni Chanzo Cha Sonona (depression) Kwa Wengi.
Ulishawahi kufikiria Hili Lingetokea? Mtaalamu ALBERT EISNTEIN alishawahi kusema” Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutumia kiwango kilekile cha uwezo wetu wa kufikiri tulichokuwa nacho wakati tunapata tatizo hilo”. Ukweli ni kwamba
Hatimaye, Njia Bora Ya Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii Imeanza Kutumika.Hatimaye, Njia Bora Ya Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii Imeanza Kutumika.
Ni masaa mangapi unatumia kila siku kuzurura kwenye mitandao ya kijamii? Unapaswa ufahamu hili miaka 20 iliyopita, kabla ya mitandao ya kijamii na simu janja hazijaingia kwenye maisha ya watu,
Unasumbuka Na Ufanisi Kazini…?Unasumbuka Na Ufanisi Kazini…?
Leo nimeamua nikusogezee mada hii kwenye macho yako kwani imekuwa changamoto na kuathiri utendaji kazi wa watu wengi. Ukweli ni kwamba akili zetu sisi binadamu ni kitu cha ajabu sana,
Hisia Huwa Zina Nguvu Kubwa Kwenye Akili Na Miili Yetu, Soma Hapa Kujua Jinsi Ya Kudhibiti Hisia Zako.Hisia Huwa Zina Nguvu Kubwa Kwenye Akili Na Miili Yetu, Soma Hapa Kujua Jinsi Ya Kudhibiti Hisia Zako.
Mtaalaam Confucius, alinukuliwa akisema “Kuacha tabia mbaya ni rahisi leo kuliko kesho”. Yupo sahihi kabisa kwa sababu huwezi kuitegemea kesho hakati leo yenyewe hujaitumia vizuri. Ukishindwa kudhibiti hisia zako leo
Kama Unataka Kuvunja Tabia Fulani Au Uraibu, Usijiruhusu Kuwa Kwenye Hali Hii Ya Kufanya Kwa Mazoea.Kama Unataka Kuvunja Tabia Fulani Au Uraibu, Usijiruhusu Kuwa Kwenye Hali Hii Ya Kufanya Kwa Mazoea.
Siku moja mwandishi wa vitabu Tom Corley alifanya utafiti wa tabia za kila siku za matajiri 233 na pia akachunguza tabia za kila siku za watu maskini wapatao 128. Alichogundua
Je Tunakwama Wapi? Iweje Tujue Kilicho Sahihi Kufanya, Lakini Hatukifanyi?Je Tunakwama Wapi? Iweje Tujue Kilicho Sahihi Kufanya, Lakini Hatukifanyi?
Ni nani asiyejua kwamba ukila vyakula vya wanga kwa wingi unaongeza uzito na kukaribisha magonjwa sugu kama presha na kisukari? Ni nani asiyejua kuvuta sigara kuna madhara makubwa kiafya? Ni
Maeneo Muhimu Kwenye Maisha Yetu, Maeneo Ambayo Tunapaswa Kuyapa Kipaumbele Kwenye Muda Wetu.Maeneo Muhimu Kwenye Maisha Yetu, Maeneo Ambayo Tunapaswa Kuyapa Kipaumbele Kwenye Muda Wetu.
Mambo mengi, muda mchache ni kauli maarufu sana enzi hizi. Mambo yakufanya yanaongezeka kila siku, lakini muda wa kufanya mambo hayo ni ule ule. Na hapa ndipo wengi wanapopata msongo.
Acha Kujilinganisha Na Wengine Chukua Hatua Sasa.Acha Kujilinganisha Na Wengine Chukua Hatua Sasa.
Mitandao ya kijamii ambayo ni moja ya njia kuu ya kusambaza habari imechochea sana kuongezeka kwa msongo wa mawazo kwa watu wengi. Hii ni kwasababu mitandao hiyo imekuwa inawachochea watu
Kama Hutajifunza Chochote Mwaka Huu, Basi Jifunze Umuhimu Wa Kuwa Na Muda Wa Peke Yako.Kama Hutajifunza Chochote Mwaka Huu, Basi Jifunze Umuhimu Wa Kuwa Na Muda Wa Peke Yako.
Tangu enzi na enzi, binadamu wamekuwa wakipata maono makubwa na ya tofauti , kupata suluhisho la matatizo makubwa na hata kujitambua wao wenyewe baada ya kupata muda wa kuwa peke