Fursa; Fungua Jicho la 3 Uione Hii Fursa.

Fungua Jicho La 3 Uione Hii Fursa*

Hii ni Fursa Ambayo Wamekuwa Wakikuficha Siku Zote

…Rafiki yangu, Hii Fursa Ina Sentensi 10 Fupi Fupi Ambazo Mtu Yeyote Ambaye ana Macho Na Anajua Kusoma Na Kuandika Ataielewa.

Na wala Hata Haitachukua Muda Wako Mwingi Sana , Ni Ndani Ya Sekunde 10 Tu Za Mwanzo Utakuwa Umeijua Na Kuanza Kuifanyia Kazi Kichwani.

Na Imekuwa Inawaangusha Watu Wengi Sana Kwasababu Wamekuwa Hawaitumii Vizuri.

Na Habari Njema Ni Kwamba Fursa Yenyewe Ni Hiyo Hapo Chini.

1. Soma

2. Kila.

3. Siku 

4. Hata

5. Kama 

6. Ni

7. Ukurasa 

8. Mmoja

9. Pekee  

10. Umesoma.

Rafiki, Nani Ambaye Hawezi Kupata Muda Wa Kusoma Ukurasa Mmoja Tu Wa Kitabu Kwa Siku?

Hayupo Kabisa Mtu Wa Aina Hiyo.

Hivyo Ukitumia Hii mbinu,

Kila Siku Utasoma Na Kujifunza Vitu Ambavyo Vitakufanya Uwe Bora Zaidi. 

Rafiki, ni kitabu gani unachosoma kwenye wiki hii?

Karibu unishirikishe.

Na kama hakuna kitabu unachosoma sasa,

…nijulishe nikuchagulie kitabu ambacho kitakuwa bora kabisa kwako.

Karibu ni Hapa *https://wa.link/36si7n*

Na Huu Ujumbe Umetoka kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Amir Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania |

|SalesConsultant |

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post