Hofu imekuwa kikwazo kwako? Adui mkubwa wa mafanikio ya watu wengi ni hofu. Wewe mwenyewe ni shahidi. Hofu imezuia watu wengi sana kuweza kuchukua hatua ili kufikia mafanikio kwenye maisha