Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “