*Usizitafute Zivute Zije Kwako*. Rafiki Yangu Hii Dunia Ina Fedha Nyingi Sana. Na Watu wengi wamekuwa wanazitafuta kwa kasi sana kuliko kuzivuta. Lakini matokeo yake wengi wameishia kuzikosa. Ni wachache
Month: November 2023
Vunja Laana Ya Kila Kizazi Kuanzia Sifuri.Vunja Laana Ya Kila Kizazi Kuanzia Sifuri.
Rafiki yangu, Moja ya changamoto kubwa ambayo imekuwa kikwazo kwa jamii nyingi kushindwa kujenga utajiri ni laana ya kila kizazi kuanzia sifuri. Hii inamaanisha kwamba kila kizazi kinaendesha harakati zake