Rafiki yangu, Moja ya changamoto kubwa ambayo imekuwa kikwazo kwa jamii nyingi kushindwa kujenga utajiri ni laana ya kila kizazi kuanzia sifuri. Hii inamaanisha kwamba kila kizazi kinaendesha harakati zake