Mbinu 10 Za Kuwa Na AKILI Na Mafanikio Makubwa…

Mbinu 10 Za Kuwa Na Akili Na Mafanikio Makubwa Ndani Ya Mda Mfupi Tu!…

Rafiki Yangu,

Kila mmoja wetu ana akili, tunachotofautiana ni jinsi ambavyo tunazitumia akili zetu katika kupata kile tunachotaka.

 Kwenye makala hii unakwenda kujifunza mbinu kumi za kuweza kutumia akili yako vizuri ili kuweza kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako.

Karibu ujifunze mbinu hizi, uchukue hatua na upate matokeo mazuri.

Moja; tenga muda ambao hutaruhusu usumbufu wa aina yoyote ile, muda huo unaweka mkazo wako kwenye kazi yako pekee, hakuna kingine kinachoruhusiwa hapo.

Akili yako inafanya kazi kwa uwezo mkubwa sana unapokuwa na utulivu.

Usidanganyike kwamba unaweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja, akili yako inaweza kuweka umakini kwenye jambo moja kwa wakati, hivyo panga kufanya jambo moja kwa wakati, kwa kuwa na vipaumbele sahihi.

Mbili; dakika 90 za kwanza kwenye kazi yako zitumie kufanya kitu kimoja ambacho ndiyo muhimu kuliko vingine vyote, kitu kimoja ambacho ukikikamilisha basi utafanikiwa sana.

 Fanya hivi kwa siku 90 na utaona mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yako.

Ni muhimu sana kuwa na vipaumbele sahihi na kuanza navyo, kwa kuwa mwanzo wa siku unakuwa na nguvu na utulivu mkubwa, utumie kufanya mambo makubwa na muhimu zaidi.

Tatu; baada ya dakika 90 za kwanza, muda unaobakia fanya kazi kwa dakika 60 na pumzika kwa dakika 10.

Dakika 60 unazofanya kazi unafanya kazi kweli, hakuna usumbufu wala kupeleka mawazo yako pengine.

Zikiisha unajipa dakika kumi za mapumziko, ambapo hapo unaweza kufanya chochote unachotaka.

Ila dakika kumi za mapumziko zikiisha, rudi tena kwenye dakika 60 za kazi.

Mpango huu wa kuweka mkazo kwa dakika 60 na kupumzika kwa dakika 10 unakujengea umakini na ustahimilivu mkubwa kwenye kile unachofanya.

Nne; kuwa na vitu vitano vidogo vidogo ambavyo unapanga kukamilisha kila siku. Orodhesha vitu hivyo unapoianza siku yako na hakikisha unavifanyia kazi kwenye siku yako.

Kukamilisha vitu vitano kila siku ni ushindi mkubwa sana kwako, kwa mwezi utakamilisha vitu 150, kwa mwaka zaidi ya vitu 1800, utapiga hatua sana.

Kama tunavyojua, mafanikio makubwa ni matokeo ya hatua ndogo ndogo zilizorudiwa kwa muda mrefu, jua hatua hizo kwenye kila siku yako na uzifanyie kazi.

Tano; tenga nafasi ya pili ya kufanya mazoezi kwenye siku yako.

Kwa kuwa mazoezi yana faida sana kwenye mwili wako, tenga nafasi ya pili ya kufanya mazoezi kwenye jioni yako.

Na siyo lazima yawe mazoezi magumu, yanaweza kuwa matembezi tu lakini yakakunufaisha sana, na pia yakakupa utulivu na muda wa kuwa mbali na teknolojia.

Mazoezi ya mwili ni sehemu ya mwili kujichaji wenyewe, unapofanya mazoezi, mwili unazalisha nguvu zaidi ambayo unaweza kuitumia kufanya makubwa.

 Hivyo ukiwa na ratiba ya kufanya mazoezi mara mbili kwa siku, unapata nguvu zaidi ya kufanya yale muhimu.

Habari njema ni kwamba mbinu ya 6 mpaka ya 10 utaipata kwenye kitabu kipya kinachoitwa KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO.

 Mbinu hizi zitakusaidia kutumia akili yako vizuri na kupiga hatua kwenye maisha yako.

Zifanyie kazi kila siku na hutabaki hapo ulipo sasa, utaweza kupiga hatua na kufika kwenye mafanikio makubwa.

Akili tayari unayo na ukichanganya na mbinu utakazo jifunza kwa kina kwenye kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO,

…Ukisoma kwa  makini na kuzielewa kisha ukachukua hatua utaweza kupiga hatua kubwa sana kwenye maisha yako, ndani ya mda mfupi.

Rafiki, kitabu hiki cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO siyo cha wewe kukosa, kwani kimekuja kama mkombozi wako kwenye changamoto kubwa tunayopitia sasa ya mambo kuwa mengi huku muda kuwa mchache.

JINSI YA KUPATA KITABU.

Kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO kinapatikana kwa nakala ngumu (hardcopy).
Kama upo Dar es salaam utaletewa kitabu popote ulipo.


Na kama upo nje ya Dar es salaam utatumiwa kitabu kule ulipo.

Kujipatia nakala yako ya kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO,

 Tuma meseji inayosomeka “ SIKU YA MAFANIKIO” Kwenye WHATSAPP Namba  0752 977 170 au 0678 977 007.

ZAWADI YA KITABU.

Rafiki yangu mpendwa,

Kwa kuwa umekuwa unafuatilia mafunzo ninayotoa kwa muda mrefu, nakwenda kukupa kitabu hiki cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO KAMA ZAWADI.

Hivyo kwa siku hizi chache utakipata kitabu hiki kwa bei ya punguzo ambayo ni tsh  (14,999/=), badala ya bei yake halisi ambayo ni tsh elfu 20

Kitabu hiki kina thamani ya mamilioni kwako, ila wewe unakipata sawa na bure kabisa, kwa tsh elfu 15 tu.

Lengo langu ni wewe usiwe na sababu yoyote ya kukikosa, kwa sababu nataka sana uyabadili na kuyaboresha maisha yako na maarifa yaliyo kwenye kitabu hiki ndiyo unayahitaji sana.

Chukua hatua sasa rafiki yangu, zawadi hii ni ya muda mfupi, bei ya kitabu itakuwa kubwa zaidi baadaye hivyo usikubali kukosa.

Kushika hatamu ya maisha yako ni hitaji muhimu sana kwako kama unataka kuwa na mafanikio makubwa kwenye maisha.

Kitabu hiki cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO kina kanuni za kukuwezesha wewe kushika hatamu ya maisha yako, wajibu wako ni kuzijua na kuzifuata na uweze kuwa na mafanikio makubwa kwenye maisha yako.

Rafiki, hii ni nafasi ya kipekee kwako kwenda kurudisha utawala na ushindi kwenye siku zako ili kuweza kujenga maisha yenye mafanikio makubwa.

 Jipatie sasa kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO kwa kutumia njia hizo hapo juu na uweze kuyabadili maisha yako.

Jipatie kitabu chako sasa kwa bei ya zawadi,

Kwa kutuma meseji inayosomeka “ SIKU YA MAFANIKIO” Kwenye Whatsapp Namba  0752 977 170 kisha utapata utaratibu wa kupata zawadi yako popote ulipo ndani Ya AFRIKA MASHARIKI.

Kutoka Kwa Shabiki Yako Namba 1,

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu Ujifunze, www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post