Unataka Kukuza Mauzo Ya Biashara Yako Mara 5 Zaidi Ndani Ya Mwaka Mmoja (1) ?

Unataka Kukuza Mauzo Ya Biashara Yako Mara 5 Zaidi Ndani Ya Mwaka Mmoja (1)?

Rafiki Yangu Mkubwa, Najua Unataka Sana Tu,

Nakumbuka Miaka 11 iliyopita nikiwa kijana mdogo sana,

….nilikuwa sijui chochote kuhusu mauzo mbaya zaidi nilikuwa naogopa sana kukataliwa yaani nilikuwa nikifikiria kumfuata mteja na kumshawishi anunue ninachouza JASHO JINGI LILIKUWA LIKINITOKA.

Nilijaribu kuhudhuria mafunzo mbalimbali ya wajasiriamali lakini wapi, nikajaribu kuwashirikisha marafiki zangu lakini wapi, yaani walikuwa hawajui chochote afadhali ya mimi tena.

Nilikula msoto sana, nilikataliwa sana, nilidharaulika sana, na kubwa zaidi nilitengwa sana.

Walikuwa sahihi sana, kwasababu nilikuwa sina ushawishi wewe mwenyewe shahidi kwenye hii karne 21 kama hauna ushawishi utadharaulika sana.

Mambo yalianza kubadilika pale nilipoanza kujifunza mbinu bora za kufanya mauzo online.

Na ndipo nikajifunza ushawishi,

…ukweli mchungu ni kwamba kama hauna ushawishi hutaweza kumuuzia yeyote.

Nashukuru kwasasa nina amani kwasababu ninafurahia kuuza na ninaweza kumuuzia yeyote kutoka nchi yoyote.

Na uzuri mbinu zote zipo ndani ya kitabu hiki kipya kinachoitwa * CHUO CHA MAUZO*

Rafiki yangu,nakuhakikishia utakuza mauzo ya biashara yako mara 5 zaidi ndani ya mwaka mmoja (1).

Nakuhaidi tena, kisipo kusaidia nipigie kwenye namba hii 0752977170.

Alafu kirudishe na HELA YA SODA NITAKUPA.

Naamini haya maarifa yatakusaidia sana mpaka ujishangae.

Na uzuri leo unaenda kukipata kwa Tshs 29,999Tu Badala Ya Elfu 50 Nzima.

Kukipata kitabu hiki piga namba hii sasahivi 0752977170.

Karibu Sana.

KUMBUKA; MWISHO WA OFA NI TAREHE 30|11|2022.

Rafiki Yako Ninayekujali Sana,

Bwana Amiri Ramadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post