Ushauri Namba 1 Utakao Badilisha Maisha Yako Mazima…

Ushauri Namba 1 Utakao Yabadilisha Maisha Yako Mazima…

Rafiki Yangu,

Kama leo hii ungenipa nafasi ya kukushauri ungeomba nikushauri kitu gani?…

Unafikiri Ningekupa Ushauri Gani?

Najua mpaka kufikia hapo ulipo umeshauriwa sana,

Haijalishi umeshauriwa na watu wengi kiasi gani, ukweli ni kwamba sekunde chache zijazo utapata ushauri utakaokupa nguvu kila wakati.

Ushauri Huu Una Maneno Mawili Tu Nayo Ni;

USIKATE TAMAA,

Rudia kusoma tena,

USIKATE TAMAA,

Inasikitisha sana kuona watu wengi wamekata tamaa kwenye maisha yao.

Kwasababu tu wamerizika na maisha wanayoyaishi.

Wanataka kuwaridhisha wazazi wao, marafiki zao, na jamii inayowazunguka.

Wanaogopa sana kujaribu vitu vipya, wanaogopa kuziendea ndoto zao kubwa.

Ukiwauliza kwa nini?

 Watakupa mifano mingi ya jinsi wangeweza kushindwa.

Watakupa mifano ya wale wote waliojaribu na kushindwa.

Watakutolea mifano mingi ya  jinsi maisha yalivyo magumu .

Watakuambia ni kiasi gani walivyokosa Bahati

Wapo Sahihi Kabisa, na wala sio kosa lao.

Naamini kila mtu anauwezo wa kutengeneza maisha anayoyataka.

Nakataa kabisa kuamini kama utakwama.

Ninakataa kabisa kuamini kwenye vizuizi.

Unauwezo wa kuwa yeyote unayemtaka.

Kama tu utaamini hivo.

Kwa sababu  imani huzaa matendo.

Kwenye imani hutokea  uwezekano.

Kwenye kuamini hufungua fursa.

Kila Kitu Kitawezekana,

Pale tu utakapoacha kukatia tamaa ndoto zako.

Pale tu utakapotafuta mifano ya wale waliofanikiwa kuishi maisha wanayoyataka.

Pale tu  utakapokuwa mstari wa mbele kujifunza na kuchukua hatua kila siku.

Pale tu utakapofunguka na kujifunza zaidi.

Pale tu utakapokuwa tayari kufanyia kazi yale yote unayojifunza.

Pale tu utakapoamini uwezo wako.

Unaweza kupata kizuri chochote unachotaka.

Kama utakiamini ,utaweza kukipata.

Kama unaweza kukiota , pasina shaka unaweza kukipata .

Jiamini ,

Watu wengi wanaogopa kujaribu  wewe usiwe mmoja wao.

Hivyo kama wewe utaamua kwenda kinyume na wengi , basi utawashangaza.

Kupata mafanikio makubwa kwenye maisha haitakuwa rahisi,

Na kama unataka kujihakikishia kufeli basi husijaribu chochote.

Hujui ni kitu gani kinaenda kutokea kwenye maisha yako hivyo ni vizuri kujaribu.

Chochote kinaweza kutokea kama utajiamini na utakuwa tayari kujifunza jinsi ya kukifanya kitokee.

Hakiwezi kutokea tu kirahisi au bila kufanya chochote.

Kitu sahihi kwako kitachukua muda kutokea kwahyo vuta subira.

Kama utaendelea kuamini mwishowe utapata unachotaka.

USIKATE TAMAA! USIKATE TAMAA!

Hata hivyo, kinachotangulia ni maarifa ukiwa na maarifa sahihi hauwezi kukata tamaa kizembe.

Na maarifa sahihi yanapatikana kwenye vitabu vizuri.

Kwa mfano leo hii ukisoma kitabu cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO, utapata maarifa sahihi yatakayokuwezesha kuishi maisha unayoyataka  ,kama  kutengeneza maana ya mafanikio kwako na hivyo hutaweza kujitofautisha kwa haraka sana, utaweza kukimbia mbio zako mwenyewe ina maana utaibuka mshindi mara zote na mengineyo.

Kupata kitabu chako Sasahivi Piga namba hii 0752977170.

Leo utakipata kwa Tshs 19,999Tu!

Utaletewa au utatumiwa popote ulipo.

Piga namba hii 0752977170.

Kila Lakheri,

Nakupenda.

Kutoka Kwa Shabiki Yako Namba 1,

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post