Kabla ya kuendelea , tujikumbushe kidogo walicho ki sema wahenga. “kulijua tatizo ni nusu ya kulitatua.” Kwa kuwa umekuwa unatumia simu yako kila siku , ni rahisi kuamini kwamba unafanya
Month: March 2021
Nafasi 10 Pekee Zimebaki Kupata Basic Financial Education (ELIMU YA MSINGI YA FEDHA) Chukua Hatua Sasa Hivi.Nafasi 10 Pekee Zimebaki Kupata Basic Financial Education (ELIMU YA MSINGI YA FEDHA) Chukua Hatua Sasa Hivi.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilikuwa nina tabia ya kivivu ya kusema “ NITAFANYA KESHO”. Niliendelea na hiyo tabia mpaka pale nilipokutana na hii kauli ya ushindi inayosema. “Kesho ndio
Maisha Yako Hayapaswi Kuwa Magumu Kama Yalivyo Sasa , Soma Hapa Ujue Njia Sahihi Ya Kukutoa Kwenye Umaskini.Maisha Yako Hayapaswi Kuwa Magumu Kama Yalivyo Sasa , Soma Hapa Ujue Njia Sahihi Ya Kukutoa Kwenye Umaskini.
Alisikika Akisema, Kuzaliwa Maskini Siyo Kosa Lako, Ila… Tajiri Bill Gates, amewahi kunukuliwa akisema; “Kuzaliwa Maskini Siyo Kosa Lako”. Lakini hakuishia hapo, akaendelea kusema ; “ Lakini Ukifa Maskini, Basi
Maisha Yako Hayapaswi Kuwa Magumu Kama Yalivyo Sasa, Soma Hapa Ujue Njia Sahihi Ya Kukutoa Kwenye Umaskini.Maisha Yako Hayapaswi Kuwa Magumu Kama Yalivyo Sasa, Soma Hapa Ujue Njia Sahihi Ya Kukutoa Kwenye Umaskini.
Maisha Yako Hayapaswi Kuwa Magumu Kama Yalivyo Sasa , Soma Hapa Ujue Njia Sahihi Ya Kukutoa Kwenye Umaskini. Alisikika Akisema, Kuzaliwa Maskini Siyo Kosa Lako, Ila… Tajiri Bill Gates, amewahi
Mpaka Sasa Hujafanikiwa Kuongeza Kipato Chako Kwa Sababu Ya Kukosa Maarifa Jifunze Mbinu Sahihi Zitakazokusaidia Kuongeza Kipato Chako Leo.Mpaka Sasa Hujafanikiwa Kuongeza Kipato Chako Kwa Sababu Ya Kukosa Maarifa Jifunze Mbinu Sahihi Zitakazokusaidia Kuongeza Kipato Chako Leo.
Hapo Zamani, Mtaalamu – Benjamin_Franklin, Alinukuliwa Akisema, “Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.”
Hii Ndiyo Dawa Ya Wale Wanaokudharau Kwasababu Huna Pesa.Hii Ndiyo Dawa Ya Wale Wanaokudharau Kwasababu Huna Pesa.
Je wale wanaokuambia heshima pesa wanakukera? Na je wale wanaosema hatusikilizi una busara kiasi gani bali tunaangalia una utajiri kiasi gani, wanakufanya ujisikie vibaya? Kama majibu ni ndiyo, basi leo
Kwanini Ukipata Pesa Mawazo Mazuri Yanapotea?Kwanini Ukipata Pesa Mawazo Mazuri Yanapotea?
Naamini umewahi kujikuta kwenye hali hii, unakuwa na mawazo na mipango mizuri sana. Unapanga vizuri kwamba utakapozipata fedha, basi utakamilisha vizuri mipango hiyo. Lakini pia unawashangaa sana wale wenye fedha
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa.
Utajiri ni kitu ambacho kila mtu anakipenda, kwa sababu fedha ni hitaji muhimu kwenye maisha yetu ya kila siku. Ila kwenye jamii yoyote ile, ni wachache sana wanaofikia utajiri, kwa
Niambie Kama Huyu Ni Wewe?Niambie Kama Huyu Ni Wewe?
Unajiuliza… Napata Fedha Nyingi Kila Mwezi , hivi huwa zinaishia wapi? Nawezaje Kutengeneza Fursa Zaidi Za Kifedha Kwenye Maisha Yangu? Nawezaje Kuongeza Kipato Changu Mara Mbili Zaidi Ya Ilivyo sasa?