Utajiri ni kitu ambacho kila mtu anakipenda, kwa sababu fedha ni hitaji muhimu kwenye maisha yetu ya kila siku. Ila kwenye jamii yoyote ile, ni wachache sana wanaofikia utajiri, kwa
Day: March 16, 2021
Niambie Kama Huyu Ni Wewe?Niambie Kama Huyu Ni Wewe?
Unajiuliza… Napata Fedha Nyingi Kila Mwezi , hivi huwa zinaishia wapi? Nawezaje Kutengeneza Fursa Zaidi Za Kifedha Kwenye Maisha Yangu? Nawezaje Kuongeza Kipato Changu Mara Mbili Zaidi Ya Ilivyo sasa?