Nenda shule, soma kwa bidii na ufaulu vizuri. Utapata kazi inayokulipa vizuri na utakuwa na maisha mazuri. Huu ulikuwa ushauri maarufu na uliofanya kazi kwenye karne ya 20 na muongo