Ubora ukiwa ni tabia mafanikio hujipendekeza yenyewe hivyo usiogope kuanza mchakato wa kuwa bora leo katika kile unachokifanya. Hivi umewahi kukutana na mtu na ukavutiwa jinsi anavyoongea na wateja wake?