Wewe siyo wa kwanza kupitia magumu unayopitia haupo mwenyewe, amka endelea na mapambano. Ilikuwa ni majira ya saa nane mchana ,Msichana akiwa anamwendesha baba yake ambaye aliketi siti ya nyuma.
Month: June 2021
Unaingiza Kiasi Gani Cha Pesa Kwa Li saa?Unaingiza Kiasi Gani Cha Pesa Kwa Li saa?
Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “
Wakati Mzuri Wa Kukuza Biashara Yako.Wakati Mzuri Wa Kukuza Biashara Yako.
Katika vipindi vyote ambavyo binadamu wameishi hapa duniani, miaka mingi sana mpaka kufikia sasa, hakuna kipindi kizuri kuingia au kuwa kwenye biashara kama kipindi tunachoishi sasa. Ni upendeleo wa kipekee
Jinsi Ya Kudhibiti Matumizi Na Bado Ukawa Na Maisha Bora.Jinsi Ya Kudhibiti Matumizi Na Bado Ukawa Na Maisha Bora.
Siri ya Utajiri ni ubahili,hii ni kauli ambayo wengi wamekuwa wakiitumia, na hufanya zoezi la kutengeneza utajiri kupewa taswira hasi. Kwa sababu ubahili ni kubana sana fedha na kujinyima, basi