Ongeza Thamani Ya Utajiri Wako Kwa Kuzingatia Mambo Haya.

Acha nikuulize swali rahisi,

Hivi mara yako ya mwisho kukokotoa thamani ya utajiri wako ilikuwa ni lini?

Kama hukumbuki ni lini unapaswa kujifunza hapa,

Kipimo sahihi cha utajiri ni thamani ya utajiri ambao mtu anao,

Unaohusisha kila kitu anachomiliki.

Kipato ambacho mtu anaingiza pekee siyo kipimo cha utajiri, ni sehemu tu.

Ili ufikie utajiri,

Lazima uwe na thamani kubwa ya utajiri kuliko kipato chako.

Uwe na uwekezaji mkubwa uliofanya ambao thamani yake inapopimwa inakufanya uwe kwenye utajiri.

Baadhi ya matajiri wana kipato kidogo kuliko waajiriwa ,

Lakini thamani yao ya utajiri ni kubwa.

Unapaswa kupambana kukuza thamani ya utajiri wako na siyo kipato cha moja kwa moja tu.

Unapaswa kufanya uwekezaji kwenye maeneo yanayozalisha faida na thamani ya uwekezaji kukua.

Matajiri huwa wanaweka mkazo kwenye ukubwa wa utajiri wao na hilo hupelekea utajiri wao kukua zaidi na zaidi.

Masikini huwa wanaweka mkazo kwenye ukubwa wa kipato chao na hilo huwa kikwazo kwao kufikia utajiri.

Thamani ya utajiri inatokana na vitu vinne (4) muhimu unavyopaswa kuvizingatia sana.

Moja ni kipato chako, hiki kinaweza kuwa cha moja kwa moja au kisicho cha moja kwa moja,

Kwa maana kinachoingia bila wewe kufanya kazi.

Wajibu wako ni kuhakikisha kipato chako kinaongezeka kadiri muda unavyokwenda.

Mbili ni kuweka akiba, kwa kila kipato unachoingiza, hupaswi kutumia chote, badala yake unapaswa kuweka akiba.

Tatu ni uwekezaji, akiba unayoiweka unapaswa kuiwekeza maeneo yanayozalisha faida na thamani kukua.

Nne kurahisisha maisha, kadiri kipato kinavyoongezeka gharama za maisha zina tabia ya kupanda.

Hapa unapaswa kuyarahisisha maisha yako kwa kudhibiti gharama za maisha yako.

Kipato kinavyoongezeka, weka akiba zaidi na wekeza, hilo litakujengea utajiri mkubwa.

Je, ungependa kuongeza thamani ya utajiri wako?

Kama ni ndio,

Siri Ipo Hapa  (http://bit.ly/somavitabuapp).

Ujifunze njia na hatua za kuchukua ili uongeze thamani zaidi.

Utajiri ni mchezo,

Mchezo ambao una kanuni zake na sheria zake,

Na ili uweze kushinda mchezo huu,

 Lazima uzijue kanuni na uzishike sheria.

Haiwezekani kabisa kwa mtu ambaye hajui kanuni za mpira wa miguu,

Hana mazoezi akaenda uwanjani na kushinda.

Wengi wamekuwa wanaingia kwenye mchezo wa utajiri kama vile ni kitu cha kubahatisha,

Hawajui kanuni wala sheria,

Hawana maandalizi na kinachotokea ni kushindwa vibaya sana.

Karibu sana usome EBOOK mpya inayoitwa TABIA ZA KITAJIRI,

Ujifunze kwa kina na kuyaelewa maarifa haya muhimu sana kwako,

 Kisha uchukue hatua ili maisha yako yaweze kubadilika, ufike kwenye utajiri, mafanikio na furaha.

JINSI YA KUTUMIA EBOOK YAKO.

EBOOK mpya inayoitwa TABIA ZA KITAJIRI inapatikana kwenye app ya SOMA VITABU ambayo inapatikana kwenye mfumo wa ANDROID (PLAY STORE).

Kupata app hiyo fungua kiungo hiki; http://bit.ly/somavitabuapp au nenda moja kwa moja kwenye playstore kisha tafuta SOMA VITABU.

Ukishaweka app kwenye kifaa chako (simu au tablet) utakiona kitabu na kufuata mchakato wa kukinunua moja kwa moja kwenye app.

Kupata maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia app, kununua na kusoma vitabu, fungua hapa; https://www.kisimachamaarifa.co.tz/somavitabuapp .

Au Piga Simu Namba 0752977170, Kwa Msaada Zaidi.

ZAWADI YA EBOOK.

Rafiki yangu mpendwa,

Kwa kuwa umekuwa unafuatilia mafunzo ninayotoa kwa muda mrefu,

Nakwenda kukupa EBOOK hii ya TABIA ZA KITAJIRI KAMA ZAWADI.

Hivyo kwa siku hizi chache utaipata EBOOK hii kwa TSH elfu moja(1)  pekee (1,000/=).

EBOOK hii ina thamani ya mamilioni kwako, ila wewe unaenda kuipata sawa na bure kabisa, kwa TSH elfu moja tu.

Lengo langu ni wewe usiwe na sababu yoyote ya kuikosa,

 Kwa sababu nataka sana uyabadili na kuyaboresha maisha yako na maarifa yaliyo kwenye kitabu hiki ndiyo unayahitaji sana.

Chukua hatua sasa rafiki yangu,

Zawadi hii ni ya muda mfupi,

Bei ya EBOOK hii itakuwa kubwa zaidi baadaye hivyo usikubali kukosa.

Utajiri ni haki na wajibu wako, kama wapo wengine walioweza kufikia utajiri, na wewe pia unaweza kuufikia.

Unachohitaji ni kuijua kanuni sahihi na kuifuata.

EBOOK hii ya TABIA ZA KITAJIRI ina kanuni hizo, wajibu wako ni kuzijua na kuzifuata na utajiri kwako unakuwa swala la muda tu.

Jipatie kitabu chako sasa kwa bei ya zawadi, fungua; http://bit.ly/somavitabuapp

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post