Rafiki yangu, Moja ya changamoto kubwa ambayo imekuwa kikwazo kwa jamii nyingi kushindwa kujenga utajiri ni laana ya kila kizazi kuanzia sifuri.
Hii inamaanisha kwamba kila kizazi kinaendesha harakati zake za kuachana na umasikini na kujenga utajiri.
Kizazi hicho kinafikia hatua ya juu kwenye kujenga utajiri, lakini kwa kuwa binadamu hatuishi milele, pale kizazi hicho kinapokufa, utajiri ambao ulijengwa nao unapotea kabisa.
Hiyo inalazimisha kizazi kinachofuata kuanzia tena sifuri kwenye harakati za kujenga utajiri.
Baada ya utajiri uliojengwa na kizazi kilichotangulia kupotea, inabidi kuanza tena upya kujenga utajiri.
Hapo pia hatua kubwa inaweza kupigwa, lakini pale kizazi hicho kinapoondoka,
… hali ya utajiri kupotea inajirudia na kizazi kinachofuata kinaanzia tena sifuri.
Na hii inasababishwa na kila kizazi kushindwa kujenga utajiri ambao una kinga ya kutokuharibiwa kirahisi.
Na habari njema kwako ni kwamba ipo kinga.
Na kinga hii utaikuta ndani ya MTAALA WA UTAJIRI.
Kuupata Piga Simu Namba 0752 977 170. Karibu.