Facebook & Instagram; Jinsi Alivyoweza Kuizidi Ujanja Mitandao Ya Kijamii Ndani Ya Nusu Mwaka Tu!

Ilikuwa Ni Mwezi Wa Kwanza Mwaka Huu.

Rafiki yangu na wala hata sio mbali sana lakini ukisikia kilichomkuta Angel utamwonea huruma.

Kwa kweli hii mitandao ilimburuza sana Angel vile itakavyo kiasi kwamba ikawa siku inaisha amechoka sana,

…lakini hakuna kikubwa alichokamilisha, hali hii ilipelekea ufanisi wake kuwa chini.

Kwa Ufupi Mitandao Ya Kijamii Ilimzidi Ujanja. Kibaya zaidi ni kwamba alijaribu kila kona kutafuta suluhisho,

… lakini juhudi zake ziligonga mwamba akaishia kupoteza muda, fedha mwishowe akajikatia tamaa.

Kumbuka Huyu Angel ni yule mfanyabiashara ambaye yupo pale Mwenge.

Ghafla Mambo yalianza kubadilika pale nilipomwambia anaweza kuizidi ujanja na kuitawala,

… na kwa kuwa ni msikivu nikamwambia suluhisho ya changamoto yake ataikuta ukurasa wa 124 wa kitabu hiki cha *EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI*.

Na juzi nimetoka kuwasiliana anafuraha sana na anakiri sasa ameizidi ujanja.

Kwahiyo kama na wewe unapitia hii changamoto ingia hapa *https://wa.link/7r0dl5*.

Na kwasababu leo pia ni EID nimeongeza nafasi 7 Tu.

Inbox Plz.

https://wa.link/7r0dl5

Na Huu Ujumbe Umetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Amir Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania |

|SalesConsultant |

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post