Je wale wanaokuambia heshima pesa wanakukera?
Na je wale wanaosema hatusikilizi una busara kiasi gani bali tunaangalia una utajiri kiasi gani, wanakufanya ujisikie vibaya?
Kama majibu ni ndiyo, basi leo nina dawa ambayo unaweza kuitumia kuwakomesha kabisa watu hao .
Kwa dawa hii, utajijengea heshima kubwa kwa watu wote.
Na dawa hiyo ni kuhakikisha unazipata pesa za kutosha na kutokusumbuka na dharau zao.
Uzuri ni kwamba ipo ndani ya uwezo wako kupata fedha zaidi ya unavyopata sasa.
Haijalishi unafanya kazi au biashara gani, hapo ulipo sasa, unazo fursa nyingi za kukuongezea kipato chako zaidi ya unavyopata sasa.
Wengi wamewahi kudharauliwa kwa sababu hawana pesa na wakafanikiwa kuongeza vipato vyao maradufu kwa kuanzia pale walipo.
Mimi ni mmoja wao.
Niliamua kutumia pesa nyingi na muda mrefu (Miaka Mitano) kutafuta mbinu za kuongeza kipato changu maradufu, na mbinu zote nimeziweka katika kitabu hiki kinachoitwa “BASIC FINANCIAL EDUCATION(ELIMU YA MSINGI YA FEDHA)”.
Kitabu hiki kinamhusu Mwajiri, Mwajiriwa, Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Tajiri, Fukara, Masikini, Mwanachuo, Mwanafunzi wa sekondari, Mwanafunzi wa shule ya msingi.
Mbinu hizi binafsi zimenipatia matokeo makubwa, kirahisi na kwa haraka zaidi kuliko mbinu zozote utakazozipata kokote.
Mara ya kwanza nilijifunza mbinu hizi kwa ajili yangu tu na sio mtu yeyote.
Ila kulingana na ubora na umuhimu wa mbinu hizi nimeona sio vyema kuzitumia peke yangu.
Na rafiki yangu amenisihi nirudishe kwa jamii yangu ndio maana nikaandika kitabu hiki.
Kwa kusoma kikamilifu, na kufanyia kazi yale yote utakayojifunza kupitia kitabu hiki, mategemeo yangu ni kwamba;
- Utaelewa misingi muhimu ya fedha na kuweza kuiishi, kuanzia kifikra mpaka kimatendo.
- Utaweza kuongeza kipato chako kupitia shughuli unayofanya sasa na hata kuanzisha chanzo kipya cha kipato.
- Utaweza kupunguza matumizi yako na kudhibiti matumizi.
- Utaanza kuweka akiba kama bado, na kuendelea kuboresha uwekaji wako wa akiba kama ulishaanza.
- Utaanza Kuwa Na Uwekezaji.
- Utaanzisha biashara au kuimarisha biashara ambayo tayari umeshaanza.
- Utakuwa na bima kwa maeneo muhimu ya maisha yako.
- Utawafundisha watoto wako misingi muhimu ya kifedha.
- Utatumia fedha zako kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.
- Utaanza safari ya kuelekea kwenye utajiri na uhuru wa kifedha , hutarudi tena kwenye umasikini na madeni.
Rafiki, Kitabu hiki ni tofauti kabisa na vitabu vingine. Siyo kitabu cha kusoma na ukafurahia kwamba umekisoma, bali ni kitabu kinachokutaka uchukue hatua ili maisha yako yawe bora zaidi.
Hivyo baada ya kusoma kitabu hiki, nashauri uchukue hatua hizi tatu muhimu;
Moja; Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato. Kama umeajiriwa anzisha biashara ya pembeni , hata kama ni ndogo kiasi gani. Kuwa na kitu cha ziada unafanya , ambacho hata kama mwanzoni hakikupi kipato , kinakutengenezea njia ya kuwa na kipato zaidi baadaye.
Mbili; Kuwa na uwekezaji ambao unafanya. Uwekezaji huo uwe unafanya kidogo kidogo na kurudia rudia.
Tatu; Endelea kujifunza kuhusu fedha, biashara na hata mafanikio kwa ujumla.
Kwa kuchukua hatua hizi tatu, utaongeza kipato chako maradufu na hutadharaulika tena.
Kitabu hiki huwa kinauzwa TSH 20,000, Ila LEO nitakusaidia kukipata kitabu hiki kwa uwekezaji wa TSH 14,999Tu! .
Na Ili Kupata Kitabu Chako Wasiliana na Namba 0752977170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Tanzania na Afrika Mashariki.
MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako. Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.
NYONGEZA; Unaposoma kitabu hiki, kuwa na kijitabu ambacho unaandika yale unayojifunza.
Mwisho wa kila somo kutakuwa na maswali ya kujiuliza na kujijibu na hatua za kuchukua. Yote hayo yaandike kwenye kijitabu chako kwa rejea ya baadaye.
Jambo muhimu sana ambalo nitaendelea kukusisitiza kila mara ni kwamba hakuna kitu kitakachofanya kazi kama wewe hutachukua hatua.
NIkutakie usomaji mwema, upate maarifa sahihi na uweze kuchukua hatua kwa ajili ya mafanikio yako.
NB; OFA Hii ni kwa watu 100 TU! Wa Kwanza.
Jenga Heshima Yako Sasa Kwa Kuwa Na Pesa.