MTAJI NAMBA 1; Utakuza Mtaji Wako Kwa Kuanza Na Huyu Kwanza…

*Kuza Mtaji Wako Kwa Kuanza Na Huyu*

Rafiki Yangu,

Bado Nakumbuka Ni Kama Jana Tu! Mwezi wa 1 nilipokutana na rafiki Yangu Wa siku nyingi ambaye anaitwa Ashraf maeneo ya posta hapa hapa jijini.

Basi bana katika stori mbili 3, ghafla akaniambia Kwa unyonge sana kwasasa anapitia kipindi kigumu sana kwenye biashara zake,

… nikamuuliza kwanini unasema hivyo?

Akasema mtaji haukui licha ya kuweka juhudi kubwa kwenye biashara zake.

Na kwasababu Ashraf ananiamini akaomba nimshauri afanye nini ili aweze kukuza mtaji wake.

Kwakuwa namkubali rafiki yangu nikamshauri bure kabisa.

Nakumwambia tatizo halipo kwenye mtaji tatizo lipo kwenye kuuza. Nikamchana live kabisa bado hajajua kuuza vizuri.

Hivyo ili aweze kukuza mtaji wake inabidi auze kwa wengi zaidi,

….. kisha nikampa mbinu zote zitakazomsaidia kuuza zaidi bidhaa zake.

Na kwakuwa Ashraf ni msikivu nikamzawadia na kitabu hiki cha *CHUO CHA MAUZO*.

Kwasasa Ashraf anafurahia maisha,

Hivyo kama na wewe unataka kukuza mtaji wako na kuongeza kipato chako kama Ashraf basi usiache kupiga simu sasahivi namba ni 0752977170.

Karibu Sana.

*wa.me/255752977170*

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekukubali Sana.

Bwana Amiri Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post