Namna Ya Kutatua Matatizo Makubwa Yaliyo Washinda Wengi Kwa Haraka Zaidi.

Namna Ya Kutatua Matatizo Makubwa Yaliyo Washinda Wengi Kwa Haraka Zaidi.

Rafiki Yangu,

 Ukweli ni kwamba matatizo mengi unayoyaona ni matatizo makubwa,

… siyo matatizo makubwa kama unavyofikiria.

Na kama huamini ninachokuambia kina fanya kazi 100% angalia huu mfano hapa chini.

Siku moja MZEE WA KAYA  wakati anakaribia kustaafu alikuwa akifikiria juu ya nani ambaye atamrisisha mali zake.

Na kwa sababu hana mtoto yeyote Yule.

Hivyo baada ya MZEE WA KAYA kutafakari kwa muda mrefu akaja kuamua kwamba mali zake atamrisisha kijana mdogo ambaye damu yake bado inachemka ambaye anapatikana pale kijijini.

Hivyo akaamua kuitisha kikao kwenye kijiji kutafuta kijana mwenye uwezo mkubwa ambaye atamrisisha mali zake.

Kwa babati nzuri vijana wengi waliitikia huo wito na walijitokeza kwa wingi sana kiasi kwamba ni wengi sana mpaka akabaki anaduwaha.

Kwa wingi wa vijana waliojitokeza.

Na watu wengi wenye kusifika wanaakili na wataalamu.

Na baada ya kuitikia wito aliwapa zoezi linalofanana kwa wote.

Na kwa kuwa kwenye  himaya yake alipendelea kuweka lock kwenye milango yake hivyo akaamua hili zoezi lifanyike kwenye mlango mkubwa au mkuu wa kuingilia ndani kwake.

Basi na kwa sababu vijana wengi walikuwa na uchu wa kurisi mali za mkuu wa kaya na ule mlango ulikuwa  umewekewa pateni ya kufa mtu na kwasababu ni mkubwa sana na wenye kutisha.

Akawaambia atakayeweza kuufungua kwa kutumia hizo pateni basi atakuwa mrisi wa mali zake.

Aisee asikwambie mtu lilikuwa ni zoezi zito kiasi kwamba walijaribu vijana wengi lakini walishindwa kwa sababu lilkuwa ni zoezi zito sana ukiliangalia kwa nje.

Vijana wote  wa kile kijiji walifanya lile zoezi lakini  hakuna aliyefanikiwa kufungua ule mlango.

Mkuu wa kaya akawaambia kwa kuwa mmeshindwa wote.

Basi acha ni waalike vijana wa kijiji cha jirani ili nao waje kujaribu bahati yao.

Ukweli ni kwamba pamoja na kualikwa hao vijana wa kijiji cha jirani wote walijaribu lakini jitahada zao ziligonga mwamba.

Baada ya kupambana sana kwa muda mrefu wengine wakakata tamaa mazima.

 Wakabaki vijana watatu (3) na mmoja ambaye alikuwa pembeni ambaye hakushiriki kabisa hilo zoezi tangia siku ya kwanza mpaka leo inavyokaribia kufikia tamati.

Mkuu wa kaya akawaamuru wale vijana watatu (3) kabla ya kuendelea na ZOEZI wasubiri kwanza,

Mkuu wa kaya akamfuata Yule kijana wanne ambaye alikuwa amejitenga pembeni na kumuuliza kulikoni mbona ujafanya zoezi wanaloendelea nalo wenzako.

Kwa MSHANGAO! Akamjibu Mkuu wa kaya kwamba yeye atakuwa wa mwisho.

Na kwa sababu ni maamuzi yake hakuna kilichoharibika.

Basi bana wale vijana watatu wakaendelea na zoezi la kufungua mlango katika wale 5000 wamebaki wenyewe watatu na hawa ni kwa sababu walimuomba mkuu wa kaya.

 warudie zoezi kitaalam tunasema WALIBASTI ZOEZI yaani maana yake walirudia kufanya zoezi.

Na kwa kuwa walikuwa wanajiamini sana walipambana sana mwisho wa siku wakachoka na wakalikatia tamaa lile zoezi na kuamini kwamba ule mlango haufunguki.

Kumbe bana Yule kijana alikuwa unausoma mchezo tokea mwanzo mpaka mwisho.

Na kwa sababu hakuna aliyefanikiwa kufungua ule mlango.

Mzee wa kaya akamuita Yule kijana ambaye alikuwa pembeni.

Na kumuuliza je upo tayari  kushiriki hili zoezi sasa hivi?

Bwana mdogo kwa unyenyekevu akamjibu yupo tayari kufanya hilo zoezi kwa sababu alimuahidi yeye atakuwa wa mwisho.

Basi akatekeleza kama alivyoahidi.

WAOWOOH!

Kwa Mshangao!

 Haikuchukua Hata Sekunde 7 akawa kaufungua ule mlango mkuu wa KAYA.

Mkuu wa Kaya hakuamini macho yake ,

Unaambiwa alikuwa ameketi ikabidi asimame.

vijana wengine nao hawakuamini kilichotokea hadi wengine wakawa wanaamini ni mazingaumbwe.

Kabla ya kukabidhiwa zawadi na Mkuu wa kaya .

Mkuu wa Kaya akamuuliza imekuaje umeweza kufungua huu mlango kirahisi hivyo akati wenzako zaidi ya 5000 umewashinda?

Akajibu kwa unyenyekevu nilichokifanya ni kwa kuanza kufikiria kwanza tangia zoezi linaanza mpaka kufikia mwisho,

Ni kipi ambacho hakuna yeyote aliyeweza kukifanya na mimi nauwezo wa kukifanya.

Nikagundua hakuna aliyeweza kuusukuma mlango.

 Wengi walikuwa wanapambana na pateni ambazo hawazijui na kwa sababu wengi ni vijana wa kileo wanaamini kwenye kubashiri bahati nasibu.

Nikaaona sio mbaya kuusukuma mlango na hivyo ndivyo ukafunguka.

Akapongezwa na kupewa zawadi zake.

Na hapa tunajifunza ya kwamba hakuna tatizo kubwa bali ni sisi wenyewe tunayakuza.

 Hivyo ukiweza kuituliza akili utaweza kutatua matatizo makubwa yaliyowashinda wengi kwa urahisi.

Kwa vyovyote vile ukipata tatizo kwenye maisha yako.

Ukihisi ni tatizo kubwa sana.

Utashindwa kulitatua.

Fikiri, vuta pumzi na pata utulivu kisha ndio uanze kulitatua mdogo mdogo.

Baada ya kupata utulivu utakuja kugundua kwamba  linatatulika kirahisi sana.

Na baada ya mwezi kupita ilikuja kugundulika BWANA MDOGO huwa anautaratibu wa kufanya zoezi la kuituliza akili.

Wataalam wanaliita zoezi hili TAAHAJUDI.

Na kwa sababu kila kitu kimefanywa kwa ajili yako,

Nikaona sio mbaya kukushirikisha kitabu kitakachokusaidia na kukuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kufanya zoezi hili ili uweze kujitofautisha na MAMILIONI Ya Watu.

Kama alivyofanya Bwana Mdogo.

Sio kingine kinaitwa UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.

Na kwa sababu nakupenda sana,

Leo utakipata kwa Tshs 19,999Tu! Bila Ya Kutolea.

Nipigie simu kwa namba hii 0752977170.

Upate kitabu chako kwa wakati.

Nakupenda.

Shabiki Yako Namba 1.

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post