Siri Iliyomsaidia Rafiki Yangu Kuondoka Kwenye Madeni. Madeni ni utumwa , hii ni kauli inayoudhi na inayoumiza ambayo wengi hawapendi kuisikia, lakini kama ilivyo ukweli wowote, unaumiza lakini kuukataa hakuubadilishi.