Unazo Sekunde 5! KILA MTU NI MUUZAJI. Rafiki Yangu Mkubwa, hata wewe ni muuzaji, Waliofanikiwa sana wamekuwa ni wauzaji wazuri sana. Mfano wa majina ambayo yatakushangaza ni ; Steve Jobs,
Fanya Mambo Haya 20 Na Utakuwa Wa Kipekee Sana. Rafiki Yangu, Vp Hali Yako? Unauwezo Wa Kipekee Sana. Na kama uamini jaribu kila siku ( Asubuhi na Usiku kabla ya
98% Utatoa Maana Gani Ya Kile Kitakachokutokea Leo Hii?… Rafiki Yangu, Maana Yako Itajulisha Utashinda au Utashindwa. Utafanikiwa au Utashindwa. Na ndani ya makala hii utajifunza somo la maisha ambalo