Futa Vyote; Jenga Mtazamo Wako Upya.

Futa Vyote; Jenga Mtazamo Wako Upya.

Rafiki Yangu Mkubwa,

Vipi Hali Yako?

Wanasaikolojia wanakiri kwamba tofauti kubwa kati ya mtu mmoja na mwingine ni MITAZAMO mtu aliyonayo.

Kwa sababu kuna makundi mawili ya watu kulingana na mitazamo waliyonayo.

Na binadamu wote wanaangukia kwenye haya makundi mawili.

Kundi La Kwanza ni wale wote wenye MITAZAMO MGANDO.

Na Kundi La Pili ni wale wote wenye MITAZAMO YA UKUAJI.

Kundi la kwanza linaamini kwamba wanajua kila kitu na hivyo wanaona hakuna umuhimu wowote wa kuendelea kujifunza.

Na hata ukiwachunguza vizuri hawajui kile  wanachotaka,

Ni watu ambao wanaendeshwa na matukio.

Ni watu ambao wamejikatia tamaa,

Ni watu ambao mda wote wana hofu.

Na pia ni watu ambao wanaongoza kuwa na chuki, roho mbaya na wivu.

Lakini

Kundi Hili La Pili ni tofauti kabisa na la kwanza,

Hawa mda wote wanajiona hawajui chochote hivyo mda mwingi wanajifunza vipya na hivyo wanazidi kukua.

Kwa bahati mbaya zaidi watu hawa hawapendwi na wale wote wenye mitazamo mgando.

Na uzuri wa watu hawa,

Wanatenda wema kwa wengine.

Ni watu ambao wanajitengenezea furaha yao mda wote kwa sababu wana amini 80% ya Furaha yao ipo mikononi mwao hivyo mda wote wana enjoy.

Na hizo 20% wamewaachia wale wote wenye mitazamo mgando.

Kwa sababu hawa wenye mitazamo mgando wana amini furaha yao imebebwa na wengine, hali wanayopitia, na mazingira yanayowazunguka.

Hata hivyo,

Ukitaka kuungana na hawa wote wa kundi la pili nakushauri usome kitabu hiki kipya kinachoitwa *MJASIRIAMALI MJANJA*

Kwa sababu ni kitabu ambacho kinaenda kuyabadilisha maisha yako mazima,

Kuanzia kiakili mpaka kitajiri.

Kukipata Kitabu Hiki Tuwasiliane kwa namba hii 0752977170.

Karibu Sana.

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||Mjasiriamali Mjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post

9 December 2022.9 December 2022.

9 December 2022. Rafiki Yangu, Kuna changamoto tano (5) kubwa zinazokuzuia kufanikiwa. 1. Fedha, madeni na uwekezaji. 2. Mshahara kutokutosheleza. 3. Biashara kuwa na changamoto. 4. Kukata tamaa. 5. Simu