Ishinde Hofu Leo Kwa Kufanya Hili Zoezi.

Hofu imekuwa kikwazo kwako?

Adui mkubwa wa mafanikio ya watu wengi ni hofu.

Wewe mwenyewe ni shahidi.

Hofu imezuia watu wengi sana kuweza kuchukua hatua ili kufikia mafanikio kwenye maisha yao.

Watu wanakuwa na mipango mizuri watu wanajua ni nini wanatakiwa kufanya ila inapofika wakati wa kuchukua hatua wanashindwa kufanya hivyo.

Na kama unavyojua bila ya kuchukua hatua huwezi kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako.

Watu ambao unaona ni wajasiri sana na wanaofanya mambo yao bila ya kuogopa chochote sio kwamba hawana hofu.

Wana hofu nyingi sana kama ulizonazo wewe.

Tofauti ya watu hawa ambao ndio wanapata mafanikio makubwa kwenye jamii zetu na wewe ni kwamba wao licha ya kuwa na hofu wanaendelea kufanya kile ambacho wamepanga kufanya.

Kufikia mafanikio makubwa, unahitaji kufanya mambo ambayo ni mapya na makubwa, ambayo hujawahi kufanya au hakuna mtu mwingine ambaye amewahi kufanya.

Kwa kujua tu hili unalokwenda kufanya tayari ni hofu.

Unakuwa huna uhakika kama kweli utaweza kufanya hiki ulichopanga kufanya, huna uhakika kama mambo yatakwenda kama ulivyopanga, huna uhakika watu watalipokeaje na mengine mengi.

Kufikia mafanikio makubwa inabidi uwe na imani kubwa sana ya kwamba licha ya changamoto utakazopitia , licha ya kutokuwa na uhakika , bado una imani kwamba mambo yatakuwa mazuri.

Bila ya kuzishinda hofu, na kufanya utaendelea kuwa mtu wa mipango na kushindwa kuchukua hatua.

Kama unataka kuishinda hofu leo nakushauri ufanye hili zoezi hapa (http://bit.ly/somavitabuapp).

Ujifunze njia na hatua za kuchukua ili uongeze thamani zaidi.

Karibu sana usome EBOOK mpya inayoitwa TABIA ZA KITAJIRI,

Ujifunze kwa kina na kuyaelewa maarifa haya muhimu sana kwako,

 Kisha uchukue hatua ili maisha yako yaweze kubadilika, ufike kwenye utajiri, mafanikio na furaha.

Kwenye kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI, unakwenda kujifunza mambo makubwa matano kuhusu utajiri.

Kwanza utajifunza kuhusu sayansi ya utajiri na kujua kanuni za kufanyia kazi ili uweze kufika kwenye utajiri mkubwa. Hii ni sayansi inayofanya kazi kwa yeyote anayefuata kanuni sahihi. Hapa utajifunza kanuni hizo na ukizifuata utajiri ni lazima kwako.

Pili unakwenda kujifunza tabia kumi muhimu za kuishi kwenye kila siku ya maisha yako ili kufika kwenye utajiri. Hizi ni tabia zilizofanyiwa tafiti na kugundulika matajiri wengi wanaziishi kila siku. Tabia hizo kumi hazihitaji ufanye mabadiliko makubwa kwenye maisha yako, bali ni kubadili tu mtindo wa kuyaendesha maisha yako kila siku. Kwa kuwa na mtindo mpya wa kuendesha maisha yako, unajenga utajiri mkubwa kwako bila kujali unaanzia wapi.

Tatu unakwenda kujifunza imani 17 muhimu za kujijengea ili uweze kufikia utajiri mkubwa. Imani na mitazamo tuliyonayo ina athari kubwa kwetu kifedha, ulipo sasa ni matokeo ya imani ulizonazo, ambazo umebeba kutoka kwenye jamii iliyojaa masikini wengi. Hapa unakwenda kujifunza imani 17 mpya kutoka kwa matajiri na kwa kuziishi, utayabadili maisha yako na kufikia utajiri mkubwa. Hapa utajifunza jinsi imani zinavyoathiri hisia, ambazo zinaathiri fikra, kisha maamuzi, matendo na matokeo unayopata.

Nne unakwenda kujifunza tabia 50 za kwenda kujijengea kwenye maisha yako ambazo zitakufikisha kwenye utajiri mkubwa na maisha ya mafanikio na furaha. Hapa unapata mkusanyiko na msisitizo wa yote muhimu unayopaswa kufanyia kazi ili kufika kwenye utajiri na furaha. Na hata baada ya kufika kwenye hatua hizo, tabia hizo 50 zinakuwa kinga kwako usianguke.

Tano ni hatua nane za kufika kwenye utajiri mkubwa. Kitabu hiki siyo tu nadharia ya utajiri, bali pia unaondoka na hatua za kwenda kuchukua ili ufike kwenye utajiri. Hapa utajifunza hatua nane za kutoka kwenye umasikini mpaka kwenye utajiri mkubwa, hatua ambazo ukizichukua kama unavyojifunza, nakuhakikishia hutaweza kubaki hapo ulipo sasa. Uzuri hatua hizo hazihitaji usubiri, unaanza nazo mara moja, hapo hapo ulipo na unaanza kujenga utajiri.

Karibu sana usome kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI, ujifunze kwa kina na kuyaelewa maarifa haya muhimu sana kwako, kisha uchukue hatua ili maisha yako yaweze kubadilika, ufike kwenye utajiri, mafanikio na furaha.

JINSI YA KUTUMIA EBOOK YAKO.

EBOOK mpya inayoitwa TABIA ZA KITAJIRI inapatikana kwenye app ya SOMA VITABU ambayo inapatikana kwenye mfumo wa ANDROID (PLAY STORE).

Kupata app hiyo fungua kiungo hiki; http://bit.ly/somavitabuapp au nenda moja kwa moja kwenye playstore kisha tafuta SOMA VITABU.

Ukishaweka app kwenye kifaa chako (simu au tablet) utakiona kitabu na kufuata mchakato wa kukinunua moja kwa moja kwenye app.

Kupata maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia app, kununua na kusoma vitabu, fungua hapa; https://www.kisimachamaarifa.co.tz/somavitabuapp .

Au Piga Simu Namba 0752977170, Kwa Msaada Zaidi.

ZAWADI YA EBOOK.

Rafiki yangu mpendwa,

Kwa kuwa umekuwa unafuatilia mafunzo ninayotoa kwa muda mrefu,

Nakwenda kukupa EBOOK hii ya TABIA ZA KITAJIRI KAMA ZAWADI.

Hivyo kwa siku hizi chache utaipata EBOOK hii kwa TSH elfu moja(1)  pekee (1,000/=).

EBOOK hii ina thamani ya mamilioni kwako, ila wewe unaenda kuipata sawa na bure kabisa, kwa TSH elfu moja tu.

Lengo langu ni wewe usiwe na sababu yoyote ya kuikosa,

 Kwa sababu nataka sana uyabadili na kuyaboresha maisha yako na maarifa yaliyo kwenye kitabu hiki ndiyo unayahitaji sana.

Chukua hatua sasa rafiki yangu,

Zawadi hii ni ya muda mfupi,

Bei ya EBOOK hii itakuwa kubwa zaidi baadaye hivyo usikubali kukosa.

Utajiri ni haki na wajibu wako, kama wapo wengine walioweza kufikia utajiri, na wewe pia unaweza kuufikia.

Unachohitaji ni kuijua kanuni sahihi na kuifuata.

EBOOK hii ya TABIA ZA KITAJIRI ina kanuni hizo, wajibu wako ni kuzijua na kuzifuata na utajiri kwako unakuwa swala la muda tu.

Jipatie kitabu chako sasa kwa bei ya zawadi, fungua; http://bit.ly/somavitabuapp

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post