ONYO; Unapoteza Pesa Kwa Kutotumia Mtaji.

ONYO; Unapoteza Pesa Kwa Kutotumia Mtaji.

Rafiki Yangu Mkubwa,

Miaka 17 iliyopita, masawe akiwa anaishi Kabuku Tanga.

Masawe kipindi hiko alikuwa anamiaka 25 Tu!.

Masawe alikuwa ana mawazo mazuri na mengi ya kibiashara.

Na alichokuwa akikiamini ni kwamba ili aweze kuanzisha biashara ni lazima awe na mtaji pesa.

Hivyo hali hiyo ilimpelekea kusubiri mpaka apate mtaji pesa ndio aweze kuanzisha biashara.

Hali hii ilimpa stress sana kwa sababu hakuna aliyemuamini na kumpa mtaji pesa na wala hakuna aliyeyaamini mawazo yake mazuri ya kibiashara.

Hata taasisi nazo zilishindwa kumkopesha kwa kuogopa angeshindwa kurudisha mkopo.

Alikuwa ameielekeza Akili yake yote kwenye pesa tu.

Alikonda sana asikwambie mtu, kilichomkondesha ni stress.

Na hakufanikiwa kupata msaada wowote kutoka kwa ndugu na jamaa.

Kwa sababu walishamtengaga.

Mambo yalianza kubadilika gafla pale alipokumbuka kutumia ushauri aliopewa na mzee wake Athanas,

Wa ya kwamba anaweza kuanzisha biashara hata kama hana Fedha Kabisa.

Mara ya kwanza hakuziamini mbinu alizopewa,

Lakini baada ya kuanza kuzitumia,

Zilimshangaza sana, kwa sababu zote zilifanya kazi kwa 99.9%.

Mpaka mwenyewe akawa anajishangaa na kujisemea kimoyo moyo mbona imekuwa ghafla hivi.

Baada ya kuzitumia na kuziishi mbinu na kanuni alizoshauriwa na mzee wake.

Na sasa anamiliki biashara tatu (3).

Sasahivi muda wote ana amani na furaha.

Ni kama miujiza vile.

Kutoka kwenye stress mpaka amani na furaha sio mchezo kapambana sana.

Lakini ndio ukweli wenyewe,

Mara zote kanuni hazidanganyi.

Na uzuri Mbinu na kanuni zote alizozitumia Masawe,

…utazikuta SURA YA PILI (2) ndani ya kitabu hiki kipya kipya kinachoitwa MJASIRIAMALI MJANJA.

TUNAJIFUNZA; Kwamba Uwezo Wa Kuanzisha Na Kumiliki Biashara Upo Ndani Yako.

Nasio Lazima Upewe Msaada.

Nasio Lazima Uwe na Mtaji Fedha.

Nasio Lazima Ukopeshwe.

Unaweza tu kutumia Akili na Nguvu Zako Kwa Usahihi.

Na ili uweze kutumia Akili na Nguvu Zako Kwa Usahihi.

Ni vyema ukaziambatanisha na MAARIFA SAHIHI.

Na MAARIFA SAHIHI yanapatikana kwenye vitabu Sahihi.

Na KITABU SAHIHI ni  kama hiki kipya cha MJASIRIAMALI MJANJA.

Karibu.

Tuwasiliane kwa namba hii 0752977170 kukipata kwa bei ya ofa Tshs 19,999Tu!

Badala ya Tshs 30,000.

Mwisho Ni Tarehe 30.

Tukutane Kileleni.

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post