9.9 Huu Ndio Wakati Wa Kuwa Wewe.
Kwako Rafiki Yangu Ambaye Hujaamua Mpaka Leo Hii Kuwa Wewe.
Ukweli ni kwamba ,ndani yako unajua kabisa ni nini ambacho unataka kwenye maisha yako.
Kuna sauti inayokuambia nini unapaswa kufanya na hata ukiipuuza sauti hiyo, bado haiondoki.
Kuna mambo ukiyaona huwezi kuyavumilia, ungependa yawe bora zaidi.
Huu ndiyo wakati wa wewe kuwa wewe na kuacha kupoteza muda wako na maisha yako kwa mambo yasiyokuwa na tija kwako.
Anza sasa maana hakuna siku nyingine kama ya leo.
Kumbuka hamasa na msukumo uliokuwa nao utotoni na uamshe tena ndani yako sasa.
Rafiki yangu, sina uhakika kama itakufaa lakini kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA & MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO,
…hivi vitabu viwili(2) vitakusaidia sana kuamsha uwezo wako na kuwa wewe halisi.
Vyote utavipata kwa Tshs 49,999Tu! Badala Ya Thamani Yake Halisi $43.
Na pia leo watu wa 5 wa kwanza watapata soft copy ya MILIKI BIASHARA KUBWA KWA MTAJI KIDOGO.
KUMBUKA; Ni ya watu watano (5) Tu Wa Kwanza.
Wakitimia Ofa Imeisha.
Kuwahi Ofa Yako Piga Simu Namba Ni Hii 0752977170.
Karibu Sana.
Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Na Kukuthamini Sana.
Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|