Mtaalaam Confucius, alinukuliwa akisema “Kuacha tabia mbaya ni rahisi leo kuliko kesho”. Yupo sahihi kabisa kwa sababu huwezi kuitegemea kesho hakati leo yenyewe hujaitumia vizuri. Ukishindwa kudhibiti hisia zako leo
Category: Uncategorized
Maeneo Muhimu Kwenye Maisha Yetu, Maeneo Ambayo Tunapaswa Kuyapa Kipaumbele Kwenye Muda Wetu.Maeneo Muhimu Kwenye Maisha Yetu, Maeneo Ambayo Tunapaswa Kuyapa Kipaumbele Kwenye Muda Wetu.
Mambo mengi, muda mchache ni kauli maarufu sana enzi hizi. Mambo yakufanya yanaongezeka kila siku, lakini muda wa kufanya mambo hayo ni ule ule. Na hapa ndipo wengi wanapopata msongo.
Acha Kujilinganisha Na Wengine Chukua Hatua Sasa.Acha Kujilinganisha Na Wengine Chukua Hatua Sasa.
Mitandao ya kijamii ambayo ni moja ya njia kuu ya kusambaza habari imechochea sana kuongezeka kwa msongo wa mawazo kwa watu wengi. Hii ni kwasababu mitandao hiyo imekuwa inawachochea watu
Kama Hutajifunza Chochote Mwaka Huu, Basi Jifunze Umuhimu Wa Kuwa Na Muda Wa Peke Yako.Kama Hutajifunza Chochote Mwaka Huu, Basi Jifunze Umuhimu Wa Kuwa Na Muda Wa Peke Yako.
Tangu enzi na enzi, binadamu wamekuwa wakipata maono makubwa na ya tofauti , kupata suluhisho la matatizo makubwa na hata kujitambua wao wenyewe baada ya kupata muda wa kuwa peke
Unakaribia Kusoma kitu Muhimu Sana Kwako Kuhusu Teknolojia Mpya.Unakaribia Kusoma kitu Muhimu Sana Kwako Kuhusu Teknolojia Mpya.
Kabla ya kuendelea , tujikumbushe kidogo walicho ki sema wahenga. “kulijua tatizo ni nusu ya kulitatua.” Kwa kuwa umekuwa unatumia simu yako kila siku , ni rahisi kuamini kwamba unafanya
Mpaka Sasa Hujafanikiwa Kuongeza Kipato Chako Kwa Sababu Ya Kukosa Maarifa Jifunze Mbinu Sahihi Zitakazokusaidia Kuongeza Kipato Chako Leo.Mpaka Sasa Hujafanikiwa Kuongeza Kipato Chako Kwa Sababu Ya Kukosa Maarifa Jifunze Mbinu Sahihi Zitakazokusaidia Kuongeza Kipato Chako Leo.
Hapo Zamani, Mtaalamu – Benjamin_Franklin, Alinukuliwa Akisema, “Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.”
Kwanini Ukipata Pesa Mawazo Mazuri Yanapotea?Kwanini Ukipata Pesa Mawazo Mazuri Yanapotea?
Naamini umewahi kujikuta kwenye hali hii, unakuwa na mawazo na mipango mizuri sana. Unapanga vizuri kwamba utakapozipata fedha, basi utakamilisha vizuri mipango hiyo. Lakini pia unawashangaa sana wale wenye fedha