Category: Uncategorized

Hisia Huwa Zina Nguvu Kubwa Kwenye Akili Na Miili Yetu, Soma Hapa Kujua Jinsi Ya Kudhibiti Hisia Zako.Hisia Huwa Zina Nguvu Kubwa Kwenye Akili Na Miili Yetu, Soma Hapa Kujua Jinsi Ya Kudhibiti Hisia Zako.

Mtaalaam Confucius, alinukuliwa akisema “Kuacha tabia mbaya ni rahisi leo kuliko kesho”. Yupo sahihi kabisa kwa sababu huwezi kuitegemea kesho hakati leo yenyewe hujaitumia vizuri. Ukishindwa kudhibiti hisia zako leo