Hii Ndiyo Siri Itakayo Kufanya Uheshimike Zaidi Popote Pale Uendako…

Hii Ndiyo Siri Itakayokufanya Uheshimike Zaidi Popote Pale Uendako…

Rafiki Yangu Mpambanaji,

Utadhaulika Mpaka Lini?…

Hata kama kwa sasa unadharaulika usisikitike sana, habari njema ni kwamba ukiweza kusoma makala hii mpaka mwisho utaweza kugundua siri ambazo zitakufanya leo hii na wewe uanze kuheshimika zaidi popote pale uendako.

Leo anza kwa kujiuliza haya maswali…

Kwa nini mtu mmoja ana huzuni na mwingine ana furaha?

 Kwa nini mtu mmoja ni mwenye furaha na ustawi na mtu mwingine ni maskini na mwenye huzuni?

Kwa nini mtu mmoja ana hofu na wasiwasi na mwingine amejaa imani na ujasiri?

Kwa nini mwanamume mmoja ana nyumba nzuri na ya kifahari huku mwanamume mwingine akiishi maisha duni katika kitongoji duni?

 Kwa nini mtu mmoja ana mafanikio makubwa na mwingine kushindwa kabisa?

 Kwa nini mzungumzaji mmoja ni bora na maarufu sana na mwingine ni wa wastani na asiyependwa?

Kwa nini mtu mmoja ni gwiji katika kazi au taaluma yake huku mtu mwingine akihangaika na kuhangaika maisha yake yote bila kufanya au kutimiza lolote la maana?

 Kwa nini mtu mmoja anapona ugonjwa unaoitwa usiotibika na mwingine aponi?

Kwa nini mwanamke mmoja anafurahia ndoa yake na mwingine hafurahii?

Uzuri majibu wa maswali yote tisa (9) hapo juu,

….unakwenda kuyapata ndani ya kitabu kinachoitwa UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.

Sitasahau ilikuwa ni Tarehe 17/2/2022 ni kiwa ofisini mida ya saa nne(4) na nusu(dakika 30) asubuhi maeneo ya Tabata-Dar es salaam nilipokea ujumbe inbox kutoka kwa madam Regina anayeishi maeneo ya Area A Dodoma.

Madam Regina alikuwa mwenye huzuni na mwenye kukata tamaa kisa alikuwa anadharauliwa sana na ndugu na mashosti zake hali hiyo ilimrudisha nyuma nakushindwa kutimiza malengo yake kwa wakati. Alitafuta msaada kila kona na alitumia kila njia ili kuwashawishi ndugu na shosti zake lakini aliambulia patupu.

Mpaka pale aliposoma kitabu kinachoitwa UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA , ndio ukawa mwisho wa tatizo lake la kudharauliwa , kama na wewe pia unakutana na changamoto hii ya kudhauliwa .

Usipoteze muda piga simu sasa hivi au tuma ujumbe kwenda namba 0752977170, ili usiendelee kudharaulika na ndugu na jamaa kama ilivyokuwa kwa Madam Regina.

Kama unacho nakushauri sana, urudie kukisoma tena ili uendelee kujijengea heshima zaidi.

Thamani ya kitabu hiki ni tsh elfu 50 (50,000/=), lakini leo hii unakwenda kukipata kwa zawadi ya tsh 19,999  Tu.

Kupata kitabu hiki piga simu au tuma meseji kwenda namba 0752 977 170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Tanzania na Afrika Mashariki.

MUHIMU; Zawadi hii ni kwa siku ya leo tu. Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako bila kuulizwa chochote.

Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Rama|CopywriteOfSomaVitabuTanzania|

Karibu, www.somavitabu.co.tz.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post