Jinsi Hofu Ilivyoanzisha Safari Ya Millioni 5.

Hofu Ilivyoanzisha Safari Ya Millioni 5.

Rafiki Yangu Mkubwa,

Ni miezi miwili sasa tangu niwasiliane na Mwambunga Kwa video call.

Huyu Mwambunga wakati nawasiliana naye alikuwa ni mtu mwenye hofu sana ya kuanzisha biashara,

…kwasababu marafiki zake waliokuwa wakimzunguka walishawahi kuanzisha biashara na zikafa ndani YA mwaka mmoja tu!

…Mwishowe wakapoteza mtaji na wakajiingiza kwenye madeni mabaya.

Hivyo kuanzia hapo akisikia neno biashara anahisi kupoteza mtaji.

Na mbaya zaidi alikuwa hajui biashara gani inayomfaa.

Mtazamo wake ulianza kubadilika baada ya mazungumzo yale na baada ya kusoma kitabu hiki cha *ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA*.

Na Juzi Jumatano tumewasiliana akifurahia anakiri kabisa sasa anamiliki biashara yenye mtaji wa MILLIONI 5.

Rafiki Yangu hivyo kama na wewe unahofu ya kuanzisha biashara nakushauri usome kitabu hiki.

Kukipata tuwasiliane kwa namba hii *0752977170*

Karibu Leo Utakipata Kwa Tzs 20 Tu!.

Na 7 Wa Kwanza Watapata Zawadi Ya Valentine.

Imetoka kwa Rafiki Yako Anayekukubali Sana,

Bwana Amiri Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post