Kama Umeridhika Na Umasikini Hii Si Yako Kabisa.

Kama Umeridhika Na Umasikini Hii Si Yako.

Rafiki Yangu Mkubwa,

Haijalishi kwasasa una hali ngumu kiasi gani ninachoamini unaweza kufanikiwa endapo tu utazichanga karata zako vyema.

Ukweli ni kwamba kabla ya kupata utajiri,

… utakuwa masikini ambaye unapitia msoto sana,

Utakuwa masikini ambaye unadharaulika sana,

Utakuwa masikini ambaye huna uhakika na kesho yako,

Utakuwa masikini ambaye hujui kesho utakula nini,

Utakuwa masikini ambaye unadaiwa sana,

Utakuwa masikini ambaye unaishi kwa hofu na mashaka sana,

Utakuwa masikini ambaye huna furaha,

Utakuwa maskini ambaye unakosa usingizi,

Utakuwa  masikini ambaye unawaza sana, na kupelekea kupata magonjwa ya moyo kama presha.

Ukweli ni kwamba,

Maisha yako yataanza kubadilika pale ambapo utaielewa sayansi ya kupata utajiri,

… na kuziishi kila siku tabia ambazo matajiri wanazo.

Hakika utapata UTAJIRI,MAFANIKIO na FURAHA.

Kwa lugha rahisi Utakuwa TAJIRI mwenye Furaha.

Badilisha historia yako leo kwa kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI.

NA IKITOKEA UMEKISOMA NA HAKIJA KUSAIDIA, RUKSA KUKIRUDISHA NA UTARUDISHIWA HELA ZAKO PAMOJA NA NYONGEZA YA USUMBUFU.

Na kwasababu wiki hii ni ya Kumbukizi Kifo cha BABA WA TAIFA,

Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere,

Ukilipia VITABU 10 Pamoja Na Hiki Cha TABIA ZA KITAJIRI.

Utavipata Kwa Tshs 149,999 Tu Badala Ya Tshs 200,000,

OKOA Tshs 50,000 (Elfu 50 Nzima).

KUMBUKA; OFA HII INAISHA TAREHE 14|10|2022 Saa 4 Kamili Usiku.

…basi Kupata vitabu hivi nicheki kwa whatsApp Kwenye Namba Hii 0752977170.

Au piga namba hii 0752977170.

Karibu Sana.

Nb; Kama Umeridhika Na Umasikini Usinicheki.

Rafiki Yako Mkubwa,

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post