Hapo Zamani, Mtaalamu – Benjamin_Franklin, Alinukuliwa Akisema, “Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.”
Hii Ndiyo Dawa Ya Wale Wanaokudharau Kwasababu Huna Pesa.Hii Ndiyo Dawa Ya Wale Wanaokudharau Kwasababu Huna Pesa.
Je wale wanaokuambia heshima pesa wanakukera? Na je wale wanaosema hatusikilizi una busara kiasi gani bali tunaangalia una utajiri kiasi gani, wanakufanya ujisikie vibaya? Kama majibu ni ndiyo, basi leo
Kwanini Ukipata Pesa Mawazo Mazuri Yanapotea?Kwanini Ukipata Pesa Mawazo Mazuri Yanapotea?
Naamini umewahi kujikuta kwenye hali hii, unakuwa na mawazo na mipango mizuri sana. Unapanga vizuri kwamba utakapozipata fedha, basi utakamilisha vizuri mipango hiyo. Lakini pia unawashangaa sana wale wenye fedha
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa.
Utajiri ni kitu ambacho kila mtu anakipenda, kwa sababu fedha ni hitaji muhimu kwenye maisha yetu ya kila siku. Ila kwenye jamii yoyote ile, ni wachache sana wanaofikia utajiri, kwa
Niambie Kama Huyu Ni Wewe?Niambie Kama Huyu Ni Wewe?
Unajiuliza… Napata Fedha Nyingi Kila Mwezi , hivi huwa zinaishia wapi? Nawezaje Kutengeneza Fursa Zaidi Za Kifedha Kwenye Maisha Yangu? Nawezaje Kuongeza Kipato Changu Mara Mbili Zaidi Ya Ilivyo sasa?