Alisikika Akisema,
Kuzaliwa Maskini Siyo Kosa Lako, Ila…
Tajiri Bill Gates, amewahi kunukuliwa akisema;
“Kuzaliwa Maskini Siyo Kosa Lako”. Lakini hakuishia hapo, akaendelea kusema ; “ Lakini Ukifa Maskini, Basi Hilo ni Kosa Lako Kabisa.”
Sijui kuhusu wewe, lakini pale tajiri anapoongea kuhusu fedha , basi huna budi kumsikiliza.
Na kama alivyosema hapo , siyo kosa lako kuzaliwa maskini, kwa sababu hatupati nafasi ya kuchagua tuzaliwe na wazazi gani.
Lakini Ukifa maskini , hilo ni tatizo lako, kwa sababu haijalishi umezaliwa kwenye mazingira gani, kuna fursa nyingi sana kwako kufikia utajiri kama utaziona na kuzitumia.
Umaskini ni dhambi kubwa sana.
Na siyo tu kwamba umaskini ni dhambi, bali pia ni ubinafsi wa hali ya juu.
Iko hivi, fedha na utajiri ni zao la thamani, ni matokeo ya bidhaa au huduma ulizotoa kwa wengine , ambao wanazihitaji na wapo tayari kuzilipia.
Hivyo kama huna fedha, maana yake hakuna thamani kubwa unayotoa kwa wengine.
Sasa je, huoni kuwa ni ubinafsi, kwa mtu wewe ambaye umepewa uwezo wa kipekee, kukaa hapa duniani bila kutumia uwezo huo kuwasaidia wengine?
Kama kweli unafanya kilicho sahihi , basi matokeo lazima yaonekane kwenye kipato chako.
Kama kipato siyo kizuri , basi ni kiashiria hufanyi kilicho sahihi au hujaijua misingi sahihi ya fedha.
Rafiki usiendelee kujichelewesha TENA.
Swali la msingi ni, JE Unachukua Hatua Gani Sasa Kutoka Kwenye Umaskini?
Ndani Ya kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, kimezungumzia “ MBINU ZILIZOWASAIDIA MAELFU YA WATU KUFIKIA KWENYE UHURU WA KIFEDHA NA UTAJIRI”
Kwa kusoma kikamilifu, na kufanyia kazi yale yote utakayojifunza kupitia kitabu hiki, mategemeo yangu ni kwamba;
- Utaelewa misingi muhimu ya fedha na kuweza kuiishi, kuanzia kifikra mpaka kimatendo.
- Utaweza kuongeza kipato chako kupitia shughuli unayofanya sasa na hata kuanzisha chanzo kipya cha kipato.
- Utaweza kupunguza matumizi yako na kudhibiti matumizi.
- Utaanza kuweka akiba kama bado, na kuendelea kuboresha uwekaji wako wa akiba kama ulishaanza.
- Utaanza Kuwa Na Uwekezaji.
- Utaanzisha biashara au kuimarisha biashara ambayo tayari umeshaanza.
- Utakuwa na bima kwa maeneo muhimu ya maisha yako.
- Utawafundisha watoto wako misingi muhimu ya kifedha.
- Utatumia fedha zako kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.
- Utaanza safari ya kuelekea kwenye utajiri na uhuru wa kifedha , hutarudi tena kwenye umasikini na madeni.
Rafiki, Kitabu hiki ni tofauti kabisa na vitabu vingine. Siyo kitabu cha kusoma na ukafurahia kwamba umekisoma, bali ni kitabu kinachokutaka uchukue hatua ili maisha yako yawe bora zaidi.
Hivyo baada ya kusoma kitabu hiki, nashauri uchukue hatua hizi tatu muhimu;
Moja; Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato. Kama umeajiriwa anzisha biashara ya pembeni , hata kama ni ndogo kiasi gani. Kuwa na kitu cha ziada unafanya , ambacho hata kama mwanzoni hakikupi kipato , kinakutengenezea njia ya kuwa na kipato zaidi baadaye.
Mbili; Kuwa na uwekezaji ambao unafanya. Uwekezaji huo uwe unafanya kidogo na kurudia rudia.
Tatu; Endelea kujifunza kuhusu fedha, biashara na hata mafanikio kwa ujumla.
Kwa kuchukua hatua hizi tatu, utaongeza kipato chako maradufu na hutakuwa maskini tena.
Ifahamu kanuni iliyowasaidia maelfu ya wateja wangu.
Nipe elfu 20 nikupe laki mbili(2)…
Ipo kanuni moja ambayo nimekuwa naitumia kwenye huduma ninazotoa.
Kanuni hiyo ni ya THAMANI MARA KUMI.
Kwamba Kiasi chochote ambacho mtu atalipia kupata huduma ninayotoa , basi apate thamani mara kumi ya kiasi alicholipia.
Na hii pia ndivyo ilivyo kwenye kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.
Kitabu hiki kinauzwa elfu 20, lakini nina uhakika , ukinunua , ukikisoma na kufanyia kazi , ndani ya mwaka mmoja utakuwa umepata siyo chini ya laki 2.
MUHIMU; Na iwapo utapata kitabu hiki , ukakisoma na kufanyia kazi halafu usipate zaidi ya laki 2 ndani ya mwaka mmoja , nijulishe na nitakurudishia fedha uliyolipia.
Nina uhakika sana na maarifa yaliyopo kwenye kitabu hiki , yatakusaidia sana kutoka pale ulipokwama kifedha.
Kitabu hiki huwa kinauzwa TSH 20,000, Ila LEO nitakusaidia kukipata kitabu hiki kwa uwekezaji wa TSH 14,999Tu! .
Na Ili Kupata Kitabu Chako Wasiliana na Namba 0752977170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Afrika Mashariki.
NYONGEZA; Unaposoma kitabu hiki, kuwa na kijitabu ambacho unaandika yale unayojifunza.
Mwisho wa kila somo kutakuwa na maswali ya kujiuliza na kujijibu na hatua za kuchukua. Yote hayo yaandike kwenye kijitabu chako kwa rejea ya baadaye.
Jambo muhimu sana ambalo nitaendelea kukusisitiza kila mara ni kwamba hakuna kitu kitakachofanya kazi kama wewe hutachukua hatua.
Nikutakie usomaji mwema, upate maarifa sahihi na uweze kuchukua hatua kwa ajili ya mafanikio yako.
NB; OFA Hii Inaisha Tarehe 27 Mwezi Machi 2021, Siku Ya Jumamosi.